Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna watu wanasumbuliwa na jini mahaba na kuna wengine wanasumbuliwa na pepo wa ngono. Je ni zipi sifa za jini mahaba na zipi za pepo wa ngono? Naombeni majibu yenu waungwana
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hii ni kwa wakubwa tu!!!....inawezekana wengi wetu tunafanya mapenzi kwa malengo tafauti na faida hizi zilizotajwa hapa chini. Ila achilia mbali sababu zako zakufanya ngono hizi nifaida za kiafya...
0 Reactions
17 Replies
15K Views
1.Naanza mimi,demu wangu kumpigia simu alafu iko bussy mda wote. 2. 3.
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Utalii wa ngono zanzibar unafanywa kati ya wanawake wa kizungu na wanaume wa kitanzania. WANAUME WA KITANZANIA wanajulikana kama BEACH BOYS. Wakihojiwa: Mzungu mmoja kasema siyo vibaya kuja...
0 Reactions
16 Replies
17K Views
Wana Jf jamvini kumevamiwa na watoto wa fb lugha inayotumika baadhi ya michango katika uzi unapopitishwa ni mbaya kwakweli hatua inaweza kusaidia kuondosha hili tatizo maoni yenu ni muhimu sana...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Jamani hivi kuna ubaya mwanaume kumuoa mwanamke tall zaidi yake??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katika hali ya kawaida,mzazi kumpenda mtoto wake ni jambo la kawaida,mtoto kumpenda mama ama baba ni jambo la kawaida. LAKINI MPAKA SASA SIELEWI ni kwa nini wasichana na mama zao wanamahusiano ya...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tizama,... Bosi anamgegeda secretary... Mume anamgegeda house girl... Mchungaji anamgegeda kondoo... Mwalimu anagegeda mwanafunzi... Baba mwenye nyumba anagegeda mpangaji... Mke wa mtu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Amani iwe juu yenu!! Eti kungwi? Unafundisha ndoa, unafundisha kuishi na mume. kumetokea na tabia na mazoea ya wanamama wanaojifanya wanafundisha wanandoa wa kike namna ya kuishi na mume...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wana mmu. Nimebaatika kidogo kuona mahusiano kati ya dada zetu wa kibongo na wakenya. Baadhi ya tofauti nilizoziona ni kama zifuatavyo: Baadhi ya wadada wa kibongo ni tegemezi...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
wakuu natafuta rafiki wa kike ila asiwe mwafrika coz kila siku nawaona,naitaji mzungu na atakaefanikisha hili zawadi nono itatolewa im so serious and I need girlfriend as I specify,KARIBUNI NA PM...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Boss alimpigia simu secretary wake kwamba wanaenda trip wiki ijayo,secretary akampigia mme wake simu kwamba hatakwepo kwa wiki moja atakuwa yupo kwenye trip na boss. mme wa secretary akampigia...
0 Reactions
5 Replies
946 Views
Heshima yenu wakuu! Siyo siri kunavitu vinanitatiza sana na bado sijavipatia majibu toshelezi....naleta kwenu ili tusaidiane idea. Jamani utakuta mkaka au wakaka amevaa pensi au suruali mzuri...
2 Reactions
97 Replies
13K Views
ndugu zangu wa jf mimi natafuta marafiki wa damu, naishi Geita ni fundi welding natafuta family friends.umri wangu ni miaka 45 .
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ata sielewi nianzie wap ila kwa ufup ni ivi..nna rafik angu nilifahamiana nae nkiwa kazin mwaka 2011 mpaka leo tumekua close na kusaidiana kwakila jambo,,few days pass akaniomba aje kwangu tule...
1 Reactions
152 Replies
36K Views
Source [Copy & Paste ] http://talkbongo.blogspot.com/2013/08/waraka-wa-mama-jeskatahadhari-kwa.html TAHADHARI KWA WANAWAKE! OGOPA MAPENZI YA KICHAWI: Naitwa Mama Jessica, ni mwanamke...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari zenu wana jf, jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
mimi ni MVULANA mwenye miaka 23 ninatatizo la kushiriki tendo la ndoa binafsi (ni mwanachama mzuri sana wa CHAPUTA i mean punyeto) nashindwa kuacha nimejaribu mara nyingi kuacha nimeshindwa na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi inakuwaje mwanamke mjamzito kumchukia mtu au kumpenda mtu?? mara nyingine utakuta mama mjamzito anamchukia mumewe hadi inapelekea mwanaume hataki kufika nyumbani au mwanamke kumpenda mumewe...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kabla sijaoa kwa nyakati tofautitofauti nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wadogo, mmoja alikuwa Secondary form three, mwingine alikuwa form four, na kwa Mara ya mwisho nilitembea na...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Back
Top Bottom