alley omar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 277
- 37
Wana Jf jamvini kumevamiwa na watoto wa fb lugha inayotumika baadhi ya michango katika uzi unapopitishwa ni mbaya kwakweli hatua inaweza kusaidia kuondosha hili tatizo maoni yenu ni muhimu sana ahsanteni