Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Hivi inakuwaje mwanamke mjamzito kumchukia mtu au kumpenda mtu?? mara nyingine utakuta mama mjamzito anamchukia mumewe hadi inapelekea mwanaume hataki kufika nyumbani au mwanamke kumpenda mumewe kinachofanya akikosekana anachukua hata nguo yake apate angalau harufu ya mumewe....WATAALAM HII NI NINI?