Mko poaaaa??

Mko poaaaa??

ozunuh

Senior Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
100
Reaction score
8
Jamani hivi kuna ubaya mwanaume kumuoa mwanamke tall zaidi yake??
 
Hakuna Ubaya Mkuu,cha msingi Muwe mmependana tu
 
ubaya upo.. ukimuudhi hayo makwenzi yake sasa!!!
 
Back
Top Bottom