ni ukweli usiopingika kuwa ukiuliza watu wengi watasema wanampenda zaidi mama yao kuliko mtu mwingine yeyote.
NANI KAMA MAMA?Wanaume kwa wanawake watajibu HAKUNA KAMA MAMA.
upande mwingine wa...
Hbr wana JF
UTAFITI unaonyesha kuwa akina mama huwa wanatabia tofauti wakati wa uja uzito na mara baada ya kujifungua. tabia hizi hutegemea je, ni mimba ya kwanza, au ya pili au ya tatu
Mimba...
Mm ni mvulana nina umri wa miaka 25. Natafuta mpenzi wa kike. Mm ni mweusi, mfupi kiasi na mwembamba kiasi. Nipo mkoa wa Kagela aliye tayari aweke contacts zake hapa. Au apige kupitia 0688135465
Habari hii ni ya kweli,
Jamaa mmoja jijini Mwanza alikutana na kisa hiki akapoteza maisha .
Huyo jamaa alikuwa na dem wake akawa hamgongi kisawasawa kama ilivyokuwa mwanzoni, huyo dem akamtania...
Habari za week end wadau,
Jamani hivi mtu utajisikiaje unaambiwa na mpenzi wako muendelee tu kutumia condomu,Kuhusu kupima eti yeye hajajiandaa,kila siku,kama kupima pima wewe....
Cc:Wana MMU Wote...
MAPENZI YA KUIBIA.
mtoto wa kishua kanitoa OUT kwenda kula bata SEACLIF HOTEL kwa gharama zake.
Tumefanya kila lililowezekana kufurahisha mioyo yetu,nime-enjoy ile mbaya to be at the amazing...
Za siku tele?... hope wote mko poa wapendwa, Katika pitapita yangu vichochoroni hata kwenye highway's nimegundua kuna watu wanaheshimiwa na kuogopwa kuliko hata maboss wa maofisini. Wa kwanza...
make up.. make up... hasa hasa kwa mabinti, nakubali vitu hivi vina umuhimu wake, na vina mvuto kwa wakaka au mmeo... Lakini ngoja ntoe angalizo si kila make up ina mfanya mdada awe mzuri au...
Hivi kweli baba mzima una mke na watoto unaenda kumuharibia mtoto wa mwenzako maisha kweli? Tamaa gani mlizo nazo wababa? Nazungumza kwa uchungu kutokana na jamaa mmoja kukutwa na kanafunzi ka...
Nimetokea kumpenda sanaaaa kaka mmoja hapa jamiiforums!
Kusema kweli tulikuwa marafiki mwanzo ila yeye akasema ametokea kuvutiwa na maongezi yetu na ananipenda and blah blah blah..nikawa...
Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo
1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo...
Kwa mwonekano ni wazuri ila.......
Ukiwa naye hana flavour ya mwanamke kabisaaaa!!! Maongezi yake, mitazamo yake, uelewa wake,mapishi yake, usafi wa mwili na wandani, ukarimu negative...
MWANAMKE mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyankumbu, Kata ya Kalangalala mkoani Geita amenusurika kifo baada ya kujimwagia mwilini mafuta ya petroli kisha kujilipua baada ya mumewe kuoa mke...
Hili linakela sana!Wanawake wetu wengi wanadhalilisha uafrika.
Hata kuvaa wigi it is not right.
Kwa nini wasistiki na hali yao ya kuzaliwa?
Mbaya zaidi wabunge/mawaziri wanawake wetu hawaonyeshi...
Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.