Wavulana na suruali chini ya makalio,vipuli,kujichubua na kusuka'Je kuna faida gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wavulana na suruali chini ya makalio,vipuli,kujichubua na kusuka'Je kuna faida gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mshikachuma, Jul 27, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Heshima yenu wakuu!

  Siyo siri kunavitu vinanitatiza sana na bado sijavipatia majibu toshelezi....naleta kwenu ili tusaidiane idea.
  Jamani utakuta mkaka au wakaka amevaa pensi au suruali mzuri sana lakini cha kushangaza utaona upande wa nyuma
  kaachia inaning'nia chini ya ****** na hana wasiwasi wowote! wenyewe wanaiita kata K.

  Pili utakuta mwanaume ametoga masikio yake na kavaa heleni (vipuli) au utakuta ana ring kwenye ulimi au kwenye lips zake.
  Wanaume wengine wanafikia hatua ya kujichubua na kusuka nywele (lakini siyo mashoga) wanatembea barabarani na hawana
  hata mshipi wa aibu! Tena cha kushangaza unaweza mkuta au wakuta ameambatana na mwanamke mzuri na mwenye heshima
  zake.
  Jamani wanaume kuvaa chini yamatako,hereni,kujichubua na kusuka kuna faida gani? na wanawake wafanye nini? Na kama kuna
  faida basi tuelezane ili sisi tusioelewa ili tufunguke na tuone kitu cha kawaida tu. - Nawasilisha kwa mgongano wa kimawazo na kimtizamo.
   
 2. M

  Maengo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ushamba tu na ujinga! Ila ni hatua za ujana tu, wakikua huwa wanaacha!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  kinachokuuma ni nini? angalai wanao tu achaa na wengine .. asiyefunzwa na mamaye .......
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Binafsi sioni kama kuna faida kwa sababu hata jamii yenyewe haiwachukulii vema watu kama hao.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi tu kuiga iga hovyo...
   
 6. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Ni fashion tu zinakuja na kupita sidhani kama kila kitu watu wanachofanya kina faida mara nyingi hutokana na mapenzi binafsi
   
 7. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni ujinga tu na kutokujitambua.
   
 8. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  unajua kuna watu wakishazeeka wanadhani wengine hawana haki ya ku enjoy ujana na utoto wao.
  nyie mlivaa masuruali cheni yamechanua kama maua.
  mlifuga nywele(mliziita afro).
  viatu vina visigino virefu na vipana( kwasasahivi tungeita mmevaa mchuchumio)
  nyie ndio mlianzisha kumbi za starehe. na upuuzi wa kila aina

  acheni vijana wa 2000's wa enjoy bwana, mmezidi kuwasakama
   
 9. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha kutetea ujinga. Au nawe ni m1 wao. Acha hizo kabsa, sio ujanja!! Hata hao wa enzi hizo walionekana vituko ktk jamii. Maana walikuwepo watu ambao walijheshm na hawakuvaa mavaz ya namna hiyo.
   
 10. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  i think sio mbaya, cha msingi usiwe shoga, kutoboa ulimi, lip or lid ni kitu cha kawaida, mbona wamasai wanaume walikuwa wanatoboaga masikio na pua, i think it based on culture, unaona sio stail nzuri coz sio culture yako. Kuna culture inaitwa 'GOTHIC' ni stail ya watu ya kuvaa, hawa watu wakija bongo mnaweza kufikiri kuwa ni vichaa. Kuwa kama wewe..usimuige mtu wala usibabaike na maneno ya watu juu ya lifestyle yako. AND DONT JUDGE SOMEONE KWA CULTURE Or LIFESTYLE YAKE! I like peircing and tattooin' i think its my favourite lifestyle hada dini yangu haikatazi but inakataza kujichora kipagani kama vile mafuvu inakataza but other body tattoos like stars, cross, angels and flowers zinakubalika.
   
 11. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  maisha yanabadilika, msifikiri miaka itakuwa na desturi 1. Hata siku moja haitakuja kutokea. Kuwa kama ww na acha kuwajifananisha na wengine or kuponda wengine. Ur not perfect Hata ww utakuwa na ujinga wako tu ambao mwenzio unaujurge!
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Fashions comes and goes. Mimi nakumbuka zamani, tukivaa suruali chini ya kiuno na mabelt makubwa na zenyewe zinabana sana na mashati ya kubana sana mwilini, tukiita slim fit. Sasa yako haya ya KK (kata *****). Yatakwisha. Mnanikumbusha kisa cha baba wa ki Mombasa alipoletewa habari kuwa mwanae wa kiume, kule wanasema barobaro, huku labda nimuite "teenager", kuwa anashughulikiwa. Baba si wacha apandishe na kuanza kumpa kichapo cha nguvu mwanae, ndipo mama mtu akashindwa kustahamili akamwambia mumewe " wee baba hamada waniulia mwanangu, mwate, mbona wee umewata?". Waacheni vijana, wataacha. Sugu si mnamuona mjengoni, hamjaona alivyokuwa akivaa hizo KK? Si huyo "kawata".
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Losers like niggaz in the hood
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ukiona umeanza kuwashangaa vijana jua kwamba umeanza kuzeeka....
  Haya mambo ya fashion ni ya kupita na kila generation huwa inawashangaa vijana
   
 15. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  haaahaaa! Umenikumbusha hii lafudhi ya kimombasa...!
   
 16. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  huo ni ushoga! Mwanaume unatoga sikio! Unavaa hereni, una kipini cha lips au ulimi! Yani hapo ni ushoga tu mijitu namna hiyo mashaka wanakua sio strait, wao ni bi or gay.
   
 17. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inamuuma sababu jamii inapoharibika haiangalii nani wa kwenda nae inawezekana ikawaathir na wenetu pia
   
 18. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna vitu vya kuacha na vikapita km fashion lkn cku izi vijana wanaharibika na tusipo kemeana tutakuja kuvaliana hadi magaun alaf cjui tutaendelea kusema ni fashion itapita!!vijana wengi nowadays thy r nt gentle wako kuajabu mmmno
   
 19. gwino

  gwino JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndiyo hawa wanajiita masharobaro ?
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahhaah kwa hiyo maam aliolewa na punga au mie sijakupata!!!
   
Loading...