LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,498
- 36,677
Boss alimpigia simu secretary wake kwamba wanaenda trip wiki
ijayo,secretary akampigia mme wake simu kwamba hatakwepo kwa wiki
moja atakuwa yupo kwenye trip na boss. mme wa secretary akampigia hawara
wake simu kwamba aje nyumbani wawe pamoja mkewe kasafiri,hawara
akampigia simu mwanafunzi wake anayemfundisha kwamba
hatamfundisha mpaka baada ya wiki moja,mwanafunzi akampigia simu
babu yake (boss),kwamba hamna shule kwahiyo atakuja nyumbani kwa
wiki mmoja,boss akampigia simu secretary wake kwamba hamna trip
tena,secretary akampigia mmewe kwamba trip imeahirishwa,mme
akampigia simu hawara kwamba asije mmke kaahirisha safari,hawara
akampigia mwanafunzi wake kwamba shule ipo kama kawaida,mwanafunzi
akampigia babu(boss) kwamba siji tena shule kama kawaida ipo.Boss akampigia tena secretary kwamba tuna trip kama kawaida.
WHO CONTROLS THIS CHAIN???