mpenzi wangu ameamua kuja kwangu ninapofanyia kazi baada ya kumaliza masomo yake.
TUMEPANGA KUOANA NA NINAMHESHIMU SANA.
lakini kutokana na udhaifu wa kibinadamu nilishindwa kuvumilia ugwadu...
kila mtu anapenda kuwa na mahusiano stable!
kuna mambo huwa yananishangaza naombeni mnisaidie ipi njia sahihi?
assume una mpenzi wako ..au mume/mke...ikatokea akawa na mtu mwingine...kuna watu...
Kuna mabo ambayo hayafikiriki kabisa na mengine ukiambiwa ni vigumu kua mini lakini yapo
Huyo hapo mwanamke mla nyama za watu!!!!!!!!
Sijui ana matatizo ya akili au ni uchawi mhhhhhhh...
Ukimtokea binti akikupa jibu moja wapo kati ya hayo 9 niliyo orodhesha chini tambua kwama binti ajakukubali, akili kimkichwa.
1. Nakuchukulia wewe kama kaka yangu
2. Umri wetu umepishana kidogo...
Habari zenu wana MMU, yaani leo nimeamka na huo wimbo kila nikitaka kuuacha najikuta nauimba tuu, basi nimeona niwashirikishe tuimbe wote.
Ila licha ya kuwashirikisha huu wimbo tuimbe wote...
finali za kombe la dunia 2006 nchini Ujerumani zilikuwa za aina yake.
Nusu fainali kati ya Italia na Ujerumani ilikuwa shubiri kwangu baada ya demu niliyemuvusha geto kunikatalia kugegeda baada...
Inaaminika kuwa mwanamke hujenga imani zaidi kwa mtu ampaye kumbatio. Haya ni matokeo baada ya tafiti zilizofanywa na wataalamu wa mambo ya mahusiano na tabia huko ng'ambo.
Inasemekana kuwa...
NIna mke lakini nina miezi kadhaa sijatakuna naye kimwili,kisa ni majukumu ya kimaisha,mke wngu ni fundi nguo,mm ni shopkeeper ni mara chache nalala nyumbani,lakini mke wamgu hua amechoka,kumbuka...
HII imekaaje mtu una mpenzi wako na ukaoa mwingine ama ukaolewa na mwingine kwa nini uwe unamwita ex wako kwako kuja kukutembelea,JE MUME AMA MKE WAKO AKIJUA?tuacheni kuharibu ndoa pasipo sababu...
Jamaa yangu anatafuta mke wa kuoa.
umri uwe miaka 27 na kuendelea ila isizidi 33 maana yeye ana miaka 31 sasa.
Awe mkristo(madhehebu ya kipentecoste yatapewa kipaumbele)
Awe na elimu isiyozidi...
Najitolea kufundisha jinsi ya kuwatenda wenzi wetu. Je uliwahi kutendwa..... usilie nifuate nikufunze jinsi ya kumfanya ajione -----...
CV zangu ni hizi:
K.O ( niliowatenda live ).... 6
T.K.O (...
Wanajamvi mara nyingi nimekuwa nikotongoza wasichana...nimegundua kuwa msichana anayenikubalia ni yule anayeanza kwa kuonyesha chuki yake kwa wanaume....swali langu hivi ni kweli kila mtu katendwa...
KWA MUDA SASA,hapa JF na nje ya JF nimebaini,usaliti upo kila mahali,kila kukicha,kwa wapenzi,marafiki na wanandoa.
HALI NI MBAYA ZAIDI KULIKO NILIVYOFIKIRI KABLA.nimebaini pia kuwa wapenzi na...
Napenda kuwaasa wanaume wenzangu kuwa tunapoendesha magari tuwe makini sana na sheria za barabarani,kwa muda wa wiki moja na nusu nilipata matatizo makubwa kwenye nchi moja ya bara america...
Wana MMU, niko katikati na sijui cha kufanya.
Sio mzuri sana wa kuelezea lakini nitajitahidi ili mpate picha halisi ya ilivyokuwa na ilivyo sasa.
Nilimpata msichana amabaye baada ya muda mfupi...
hii ni mtizamo wangu,mapenzi yachukulie kama dini tu yaani amin tu anakupenda na wewe unampenda,ukitaka kujua kwa asilimia ngapi,ukitaka athibitishe,akununulie zawad ndo uamin etc etc utapoteza...
Akina mama hebu tujulisheni unadhifu wetu unatakiwa uwe wa kiwango gani. Nasema hivi kwa kuwa kuna wengine wetu wanazidisha sana mpaka kuleta mawazo tafauti. Dume linaweza kupiga pafyumu mpaka...
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!
Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!!
Mzungu mwenyewe awe kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.