Kwa nini eva??...

Kwa nini eva??...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,471
Nimebahatika kutembelea baadhi ya guest house(nyumba za kulala wageni),cha kushangaza karibia guest house zote nilizotembelea hupenda kutumia sabuni hii,inaitwa EVA,nadhani wale wenye uzoefu na guest house wanazifahamu izi sabuni,ni ndogo pengine kuliko sabuni zote ninazozijua,sasa nimejiuliza kwa nini sabuni iz zinapendwa kutumiwa guest house,je ni kwa sababu ya udogo wake?,pengine ubana budget,au ni sabuni ambazo hazitoi harufu kali au mbya(unpleasant smell),sijajua bado,wenye kujua tujuzane
 
hata wanaozitengeneza nadhani wanafanya hivyo kwa matumizi ya guest house tu. labda kwa kuwa ni ndogo hivo inapendwa kwa sababu inatumika mara moja na kuisha.
 
Hv huko guest house mnaenda kufanya nin? Na nyie co wageni hapa mjini?
 
mimi ninavyo geto kwangu, vya emergence...ushahidi ukihitajika
 
Na wanawake+wanaume ambao wanajifunza kuiba huanzaga kushtakiwa kuwa wanatoka nje baada ya kurud na hiyo harufu ya Eva hasa ukikuta uliyenaye alizitumia sana kipindind hicho.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kweli bana... Why not ADAM!?
 
Tena hivi vijisabuni vipo Guest za Tanzania nzima, sijui wanavipendea kitu gani. Kwanza vinashika povu kwa shida kweli na kaharufu kake kana kereketa yaani aaaghh wanaboa sana.
 
comments zote hapo juu zinaonesha ni kiasi gan tulivyo na mahudhurio mazuri gesti
 
Swali la pili: Kwa nini Mafuta ya kujipakaa hayatolewi huko kwenye nyumba zenu za uzinzi:

Name: Mwajuma Suranyuma
Arriving from: Kinondoni
Going to: Mbagala
Date of arrival: Today
Date of Departure: After six hours
Tribe: Unknown
Phone: 0874 07 22 70
 
Wengine nature za kazi tunazofanya ndiyo zinatufanya muda mwingi tulale nyumba za wageni so usi-generalize kuwa wote tunaolala humo ni wazinzi ! Shabaashh
 
it is special 4 single user only that why hahahaha
 
Umenifurahisha sana mkuu mtoa mada guest zingine wanakata ayu nusu
 
Nimebahatika kutembelea baadhi ya guest house(nyumba za kulala wageni),cha kushangaza karibia guest house zote nilizotembelea hupenda kutumia sabuni hii,inaitwa EVA,nadhani wale wenye uzoefu na guest house wanazifahamu izi sabuni,ni ndogo pengine kuliko sabuni zote ninazozijua,sasa nimejiuliza kwa nini sabuni iz zinapendwa kutumiwa guest house,je ni kwa sababu ya udogo wake?,pengine ubana budget,au ni sabuni ambazo hazitoi harufu kali au mbya(unpleasant smell),sijajua bado,wenye kujua tujuzane

issue ya budget inaweza kuwa ni kigezo kimojawapo, lakini pia imetengenezwa ndogo ili itumike kwa mtu 1 basi. Pia upatikanaji wake naona ni rahisi kulinganisha na sabuni zingine zenye size kama ya EVA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom