Nampenda Mrembo Mmoja Sijui Nitampataje.

Nampenda Mrembo Mmoja Sijui Nitampataje.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Hello JF,Binafsi nampenda msichana mmoja sana lakini,sidhani kama nitaweza kumpata hiv hiv,nipen namna wadau,
 
Hii barua itakufaa;


Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho, bila ya wewe mimi siwezi kuishi ni sawa na kukosa bunduki eneo la tukio, nakuheshimu kama LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu... mbona uko kimya? nina RB ya penzi lako, nijibu nifungue jarada lako ndani ya moyo wangu. Usifanye moyo wangu ukaenda mbio kama DIFENDA MPYA, nakuhakikishia nitakuwekea usalama kama MSAFARA WA RAIS, usiniweke roho juu kama MAANDAMANO YA CHADEMA!
 
Yaani nimechekaaaaa!!! ninyi wajukuu wa Nyerere mnanipa raha sana ya moyoni nashukuru nilikuwa peke yangu maana ofisini mwangu watu wangenishangaa sana kuniona nacheka na komputa, Duh!!

Nashukuru kwa kunichekesha maana kucheka ni afya.
 
Kama uko naye chuo au ofisini jaribu kuwa karibu naye anapofanya kitu anachokipenda huku na wewe ukionyesha intrest kwa hicho kitu. Wenzio tulikuwa tunaenda kuangalia mechi za netball enzi hizo alafu tunashangilia. Jiweke karibu naye na muonyeshe kama vile mnaendana. Kama anapenda kutaniwa, mtanie, Kama anapenda kucheka mchekeshe. Kumbuka ni rahisi zaidi kufanikiwa kama ukiwa mmezoeana yaani marafiki wa karibu kuliko ukiwa a complete stranger.
 
Nitumíe namba yake ,nikutongozee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForumsê
 
jikaze umweleze may be itz ur lucky woga wako ndo umaskini wako, try ur luck
 
Usijipange saana
we mwambie unampenda..
 
Back
Top Bottom