friend zone tunawekwa au tunajiweka??

friend zone tunawekwa au tunajiweka??

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
Super sunday

imewahi kutokea umetongoza bint kisha aka kwambia "sorry i see you as a friend and i dont want to ruin our friendship"

wengine inaweza kuwa tayar wengine maybe bado

kama umewahi pata jibu la namna hyo ndugu u are stuck in a friend zone

and best healthy advice ni kimbia mbio zaid ya usain bolt kutoka kwa huyo bint

kuja kwenye topic baada ya uchunguzi wangu wa error and trial kutongoza tongoza kwa huku na kule niligundua kuwa wanaume (ukianza na mimi)
tunajiweka wenyewe kwenye friend zone

kivip? Katika tongoza tongoza yangu mabint wote walio nipa green light from the bottom of my heart i ddnt careless about them tena mostly i was more treating them like just someone i know tu au mtu tu yupo yupo

upande wa pili ma binti walionipa jibu la u are just a friend
huwezi amin hyo treatment nilokuwa nawapa
nlikuwa nafikiria mara mbili cha kuwambia and since nilikuwa nawapenda i was weak inside nikiwa nao ill do anything to please them (kissing their ass)

basi nika arrive kwenye conclusion
treating girl like princes( kissing their ass) wont guarantee
kukupa green light sana sana atakutupa kwenye friend zone ili usitoke kwenye life yake ili aendelee kupata friend-lover benefit huku akijua she will never let u cross that line na wewe utabakia tu i wish i would kind of guy


tukutane
l'pool v man U( vita vya panzi)
 
Back
Top Bottom