Wazazi wanapokataa mkwe kwa sababu ya kabila

Kamawewe

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
531
505
Habari Wakuu, kwanza ninawapa hongera kwamba pamoja na JF katika siku za karibuni kuvamiwa kwa posts za hovyo hasa kutoka kwa wadogo zetu amboa nina imani hali itapungua wakianza kusoma vyuoni October kama sikosei bado JF is good for knowledge and entertaiments.

back to topic: Ni mara nyingi tumeshasikia wazazi au ndugu wakikataa kutoa ushirikiano kwa kijana wao kisa hawataki kabila la mkwe wao mtarajiwa kisa hofu ya kijana wao kuangamizwa ingawa ni busara kumhukumu mtu kwa alivyo si kwa kabila.

Hapa TZ wahanga wakubwa wa tatizo hilo ni Wanaume wa Makabila mbalimbaLI waliowapenda na kutaka kuwaoa mabinti wa Kichaga, jamani hii issue is very complicating omba usikutane nayo, na huwezi amini hii ni moja ya sababu inayofanya baadhi ya Wanaume wasitamani kuoa au wawe si waaminifu kwa sababu wakushindwa kuwaoa wanawake waliowapenda kwa dhati, mfano ebu chukulia ni wewe umekuwa na mahusiano na binti wa watu wa Kichaga tangu upo form five amekusuport amekuwa muaminifu miaka yote mpaka leo hii umepata degree yako na kazi yako nzuri sasa inaanza hoja ya kuuliwa na huyo binti wakati miaka yote wanajua mkigegedana na dada zako walikuwa wakimuita wifi.

Mbaya zaidi ni pale katika mahusiano yenu pengine ya miaka mitano sita tangu miaka kadhaa yaliyopitia stages mbalimbali nafsi imeamua huyo ndiyo awe mke wako ata kama ni Mchaga , Mzaramu,Mmasai n.k.

Jamani Wakuu nisiwachoshe ninajua kuna watu wenye busara humu na experience mbali mbali nini cha kufanya ndugu zako wa karibu wanapokwambia ukioa huyu binti wa Ki....... hatupo pamoja nawe na ishi kivyako vyako, wakati mwingine pamoja na kuwashawishi mara kadhaa wanakwambia hatutaki uchinjwe na ukweli ata kama una pesa kuishi kama umedondoshwa bila ndugu ni ngumu.

Nawasilisha kwa mjadala ambao nina imani utatusaidia wengi
 
hyo ishu inauma sana...sometimes unaweza ombea mzaz akate kamba ili uweze jenga maisha yako na umpendae....watan wangu wachaga wananini?
KWA AKIL ZANGU FUPI...HYO MANZI NAMPA MIMBA KM MBILI HV THEN NA2LIA KUSKLIZA WAZAZ WANASEMAJE
 
Mara zote wazazi huwa wanamteteaa kijana wao assitumbukie pale wanapohisi ni hatari. Kama unaone ndiye huyo waelimishe wazazi wako watakuelewa. Ila ukumbuke kwamba nia ya wazazi wako ni njema sana saana
 
Wazazi wanakosea kwa kutokuwa wazi na watoto wao kuhusu matazamio yao kwao. Ni muhimu kusema na kusisitiza vitu gani hawakubali na vipi vitawaumiza. Wakati mwingine wanatumia emotions kubadili kanuni. Kama fulani anaibiwa ama anapigwa na mwenzi wake, haimaanishi kabila zima bovu. Hata kabila lao wakiangalia black sheep wapo tu.

Japo nikiri wanangu from day one watajua kabisa reservations zangu kuhusu makabila. Im too ashamed of myself to admit publicly
 
not always true. i'm chagga na nasikia kauli wazee wanazosema kuhusu wapenzi wa makabila mengine; mf. huyu kabila lao wanatumia limbwata, hawa ni ombaomba/wajinga etc it is very rude, offensive na stereotypical. inafika wakati unaamua liwalo na liwe na kufunga ndoa bila wazazi kuhudhuria.
 
Real it pains sometimes after a separate from such reason U find ur self mistreating other innocent girls bse of comparison btn ur current and ex GF
hyo ishu inauma sana...sometimes unaweza ombea mzaz akate kamba ili uweze jenga maisha yako na umpendae....watan wangu wachaga wananini?
KWA AKIL ZANGU FUPI...HYO MANZI NAMPA MIMBA KM MBILI HV THEN NA2LIA KUSKLIZA WAZAZ WANASEMAJE
 
not always true. i'm chagga na nasikia kauli wazee wanazosema kuhusu wapenzi wa makabila mengine; mf. huyu kabila lao wanatumia limbwata, hawa ni ombaomba/wajinga etc it is very rude, offensive na stereotypical. inafika wakati unaamua liwalo na liwe na kufunga ndoa bila wazazi kuhudhuria.

mimi kaka yangu alioa mzaramo 'acha atibuetibue familia yetu mpaka akaamua kunyosha mikono. Uchoyo ,umbea mambo kibao
 
Kuwaambia mapema inaweza punguza matatizo ata mtoto akianzisha mahusiano ajue mzazi hapendi hawa watu sio unaacha wanagegedana wee alafu ndio mzazi unaanzisha hoja hali ya kuwa mmeshapoteza muda sana
Wazazi wanakosea kwa kutokuwa wazi na watoto wao kuhusu matazamio yao kwao. Ni muhimu kusema na kusisitiza vitu gani hawakubali na vipi vitawaumiza. Wakati mwingine wanatumia emotions kubadili kanuni. Kama fulani anaibiwa ama anapigwa na mwenzi wake, haimaanishi kabila zima bovu. Hata kabila lao wakiangalia black sheep wapo tu.

Japo nikiri wanangu from day one watajua kabisa reservations zangu kuhusu makabila. Im too ashamed of myself to admit publicly
 
Hapa ishu ni moja wala usiwalaumu wazazi kwa kutafakari hatma za watoto wao kwani ni wajibu wao wa kwanza,hayupo mzazi anyependa aone mwanae wa kiume anapotea na ukizingatia mtoto wa kiume ni nguzo ya familia

Muhimu hapa washaurini hayo makabila kama ndo kwenu waache hiyo tabia kwani inajulikana ipo si yanasemwa mchana kweupe?? recall hivi juzi mke anapanga kumuua mme wake pale Arusha ,kwanini? alafu unataka wazazi wakae kimya?
 
ishu siyo kulalamika tu muhimu waambie wenzenu hiyo tabia waifute kabisa ili wazazi wa wanaume waweze kuwaamini,hata ungelikuwa ni wewe mzazi anawajibika kuhakikisha usalama wa mwanao ..kwahiyo tusilaumu wazazi kwa kuhofia hatma ya watoto wa la kufanya tuendelee kuwashauri hayo makabila uliyoyataja kama bado wanafanya basi waache kupoteza maisha ya wakwe zao kwa kushirikiana na watoto wao.
 
Wangekuambiaga mapema tangu utoto kuwa usidate kabila flani basi....
 
Kuna ndugu yangu, anawish angewasikiliza wazazi.
My Wii King'asti is right wazazi wanatakiwa waende zaidi ya kuzuia tu. Wawape sababu au hata uzoefu wao kwanini kabila lao na lingine si compatible, maana kibongo bongo bado ndoa ni muunganiko wa família/koo mbili na si watu wawili tu.
 
Last edited by a moderator:
Wazazi wanakosea kwa kutokuwa wazi na watoto wao kuhusu matazamio yao kwao. Ni muhimu kusema na kusisitiza vitu gani hawakubali na vipi vitawaumiza. Wakati mwingine wanatumia emotions kubadili kanuni. Kama fulani anaibiwa ama anapigwa na mwenzi wake, haimaanishi kabila zima bovu. Hata kabila lao wakiangalia black sheep wapo tu.

Japo nikiri wanangu from day one watajua kabisa reservations zangu kuhusu makabila. Im too ashamed of myself to admit publicly

mara zote huwa namshukuru sana mama yangu, she was very open kwenye hili hasa tulipokuwa tunaanza sekondari. nilikuwa nikijua makabila haya hayakubaliki mbele za wazazi wangu na hivyo niliomingo nao wa makabila hayo sikuwapa priority kabisa.

at least hua inasaidia ingawa jicho la kupenda na lenyewe ni kizungumkuti.
 
Hapo Kaunga ndio mwanaume unarudi nyuma maana unajiuliza swali moja huyu ninayempeta na kumuamini na kumkingia kifua,je ikitokea ameharibu nani atanisuport ukizingatia migongano katika ndoa haina kabila
Kuna ndugu yangu, anawish angewasikiliza wazazi.
My Wii King'asti is right wazazi wanatakiwa waende zaidi ya kuzuia tu. Wawape sababu au hata uzoefu wao kwanini kabila lao na lingine si compatible, maana kibongo bongo bado ndoa ni muunganiko wa família/koo mbili na si watu wawili tu.

Mimi nilishaambiwaga kabsaaa toka darasa la tano kuwa nioe kabila lolote tz isipokuwa
wachaga
japo ni ushauri tu nilipewa nna Imani nikimleta huyo hawatamkataa
mimi ni mmeru!
Kikwetu wanasemaga
"NSHAKA NI IRESI"
Ila ukifikiria kupenda nako dah!
 
Duh Mkuu ata ninyi majirani mnaogopana
Mimi nilishaambiwaga kabsaaa toka darasa la tano kuwa nioe kabila lolote tz is ninyi ipokuwa
wachaga
japo ni ushauri tu nilipewa nna Imani nikimleta huyo hawatamkataa
mimi ni mmeru!
Kikwetu wanasemaga
"NSHAKA NI IRESI"
Ila ukifikiria kupenda nako dah!
 
not always true. i'm chagga na nasikia kauli wazee wanazosema kuhusu wapenzi wa makabila mengine; mf. huyu kabila lao wanatumia limbwata, hawa ni ombaomba/wajinga etc it is very rude, offensive na stereotypical. inafika wakati unaamua liwalo na liwe na kufunga ndoa bila wazazi kuhudhuria.
mr Blaine, hilo la ukweli kabisa.. we kwa mfano, gusa kule tarime uone!! mwanaume ukiwa lege lege unaliwa kichwa na mwanamke!
 
Last edited by a moderator:
Expedito Mduda, Sio wote humaanisha hivyo, wengine ni mitazamo yao tu potofu, na je kuna ukweli kwamba kuna kabila lote kuwa wachawi???, kabila lote kuwa na roho mbaya???? kabila lote kuwa hawana upendo wa keli???? Ukweli ni kwamba hili ni jambo la watu fulani husika na si kabila, tusi seme kabila ,hata naona ni kosa kusema ukoo fulani si wa kuoa au kuolewa maana si wote ktk jamii hiyo wanafanana tabia na silika
 
Last edited by a moderator:
Dah! ni kweli wazazi wanahaki ya kukataa maana yakikukuta ya kukuta huko utarudi tu huna kwa kwenda,mimi naonna nia nzuri ni kuweka uhusiano mapema inajulikana wanawake ni wanafiki wanawezakukuita wifi mkiwa mnagegedana tu linapokuja sula la kuwekwa ndani wanakugeuka hawawezi kukutetea mimi wanaume tuweke uhusiano wetu hadharani wazazi wajue na fuatilia comment zao juu ya huyo bint,tatzo tunagegedana humo magest mkishaona mmechoka ndo mnaenda kwa wazazi,hatupaswi kuwalaumu jamani tuende nao taratibu ili waridhie mahusiano yetu
 
Back
Top Bottom