Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana mmu. baada ya wife kujifungua kabla ya kuruhusiwa dokta akatwambia tukae bila ku du mpaka baada ya wik 6 hat miez 3.dah muda wote huo nimegoogle nikakuta dk yupo sahihi.najiuliza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa!! Wakubwa zangu heshima yenu nawapatia. Nimeanza uhusiano na dada mmoja kama miezi mitatu imepita sasa. Nampenda na yeye anasema ananipenda. Nimeanza naye uhusiano baada ya...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
^^ Kumtafuta mtu unaetaka siku moja uungane nae katika maisha yako yote yaliyobakia ni jambo moja na kumudu kuishi nae ni jambo lingine linalojitegemea, Inatokea mara nyingi sana wawili hawa...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Msaada samahani,Mume anakuambia laivu kuwa ana mwanamke nje na hujamkosea lolote na muda huo anakuambia anakupenda sana, Kiukweli inauma na sijui nifanye nini.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hello, looking for friends from everywhere, I'm 27 African man from Dar,Tz. I'm friendly, charming, gentle,easy to get along with and a dowm to earth guy, enjoy swimming, going beach, travelling...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Wanajamvi asalaam aleikum....habari zenyu banaaaaaaa kimya kingi kinamshindo,nilikuwa holiday it was fun nime-enjoy kiukweli but jambo la msingi ni kuwa am getting married...soon nimekuta PM za...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
kumekucha wana MMU! Naamini hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu ya hapa duniani hasa kujishughulisha na familia zetu, maana ni jukumu letu la kwanza baada ya kumaliza yanayomhusu Mungu! Kama...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana MMU! Mimi ni kijana wa kiume nina umri miaka 29. Nina mchumba wangu kwa sasa tuna muda wa miezi10 ktk mahusiano yetu kuna jambo kubwa ambalo linanisibu na mara nyingi tunatokea...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ukiondoa Uzinzi, Tabia gani au kitu gani kingine ambacho hupendi mke/mumeo akifanye?maana kila binadamu anakuwa na tabia yake ambayo si rahisi ikamfurahisha mwenzake kwenye mahusiano au ndoa.
1 Reactions
115 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa MMU, mnisamehe kuleta post hii hapa badala ya jukwaa la siasa ni mazoea tuu jamani sijawahi kuingia kule na hapa ndo nimepazoea. Yaani jana sikuona taarifa ya habari na leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mikao kama hii huchangia hamasa ya ngono sehemu za kazi. Picha ya Maktaba. KWA UFUPI Mabosi huwatafutia safari kama njia ya kuwanasa kwa kuwa wanapokuwa hotelini pekee, wanawake wengi...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari zenu ndugu!! Naomba mnisaidie ushauri ktk hili: kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana na nilihitaji awe mchumba wangu, lakini sikupata nafasi ya kumwambia kwani baada ya kufahiama naye...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeingia kwenye mahusiano na mdada mmoja kama mwaka hivi nampenda sana, mwezi wa kumi na mbili naenda kujitambulisha kwao nataka nimuoe. Sasa nataka ushauri wenu kama kuna mtu katokea huko au...
0 Reactions
21 Replies
22K Views
kaishi na boyfriend mwaka mzima et now karud kwao kisa et anajiskia viby ndy kashtuka kam ni dhambi....:bored:
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili,ni matumaini yangu mko salama buheri wa afya,binafsi kiafya ni mzima ila kimawazo nahisi siko vizuri na nahisi nadeserve hii hali sababu ya kua hivi... Miaka...
1 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari wanaJF, mimi ni mkaka wa miaka 39 mwajiriwa, natafuta mke wa maisha yangu kuanzia miaka 30-35, sichagui wala sibagui ''DINI, KABILA, RANGI, MWEMBAMBA AU MNENE, ELIMU NA MENGINE MENGI KAMA...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
binadamu tuna sifa ya mobility kama viumbe wengine,mobility yetu ikiitwa kitaalamu LOCOMOTION. kila mtu ana namna ya pekee ya kutembea. WADADA NA MWENDO WA MARINGO NA MADAHA. kimsingi watoto wa...
2 Reactions
168 Replies
27K Views
imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. Usiitamani nyumbaya jirani yako, usimtamani mke wajirani yako; wala...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
These three words are as powerful as the other three "I LOVE YOU.
2 Reactions
36 Replies
3K Views
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom