Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
Habari zenu wana mmu. baada ya wife kujifungua kabla ya kuruhusiwa dokta akatwambia tukae bila ku du mpaka baada ya wik 6 hat miez 3.dah muda wote huo nimegoogle nikakuta dk yupo sahihi.najiuliza kama nitaweza .wadau naomben uzoefu wenu mliwezaje?