Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni...
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend...
Habari wana MMU,ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema kwa ambao hawako sawa mungu awajalie afya njema.....................................................
Turudi kwenye maada, imekuwa ndiyo...
My best freind kanifuata hapa kwa ajili ya ushauri, nimemshauri niwezavyo ila napenda kushare na nyinyi ndugu zangu wana MMU.
Alianza kunieleza, walikuwa na makubaliano na mpenzi kabla ya...
Kwa mujibu wa utafiti ulio fanywa na blogu moja huko nchini Nigeria, wanaume wanane kati ya kumi ambao huandika herufi " K" wakimaanisha OKAY ,ni mashoga, yaani ni wanaume...
*MPENDE MUME wako
*MPE HAKI yake kila siku
*Epuka KULALA NA NGUO wkt wa
USIKU
*OGA VIZURI unapotaka kulala
*Mara nyingi chagua STYLE ambayo
INAMRIDHISHA vizuri,epuka mitindo
ya KUFUNGUA...
naomba nisieleweke vibaya kwa hiki.
Ila naongelea hali halisi ya sukumaland toka stori za waliotutangulia.
KWANZA NAPENDA KUSEMA UKWELI KUWA.
kila eneo lina watu wa aina zote japo tofauti ipo...
Habari wanajamvi,
Mimi naona tatizo kwenye kitu kimoja. Kiukweli mimi huwasaidia watu wenye shida (Japo si saaana) Ila nina share yangu katika kutoa msaada. Huwa naumia kuona mtu maisha...
Amekuwa na mahusiano na Boyfreind then Mchumba wake kwa miaka minne na nusu. Kwa mara ya kwanza amemkamata akicheat. Anasema boyfriend wake alikuwa amuelewielewi kwa siku mbili hivi, akaamua...
Habari zenu wana MMU. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali hili na wakati mwingine nikijipa majibu labda tatizo ni ...au.... bila kupata majibu ya uhakika ndio maana nimeamua kulileta...
Jamani eeh kuna mtu ameniuliza swali nikakosa jibu la moja kwa moja, naomba uzoefu wenu hasa walio ktk ndoa...anauliza ukitaka kufanya sex na mke au mumeo usiku unamwambiaje? Au unarukia tuu na...
Nilikuwa na mpenzi wang akaenda depo la moja wapo ya chombo cha ulinzi na usalama. Kutokana na tabia tabia ya kutamani nikajikuta nimeingizwa kwenye mtego na binti mmoja nika mtia mimba ila...
Leo nilikuwa napitia blog moja nikakuta picha za hafla ya Dr.Dualle na mkewe Aunt Ashura. Picha ya huyu mama nilivyoiangalia ilifananafanana na mama mmoja wa jina hilo hilo aliyekuwa mke wa...
Jamani wana jf hivi hii ni mimi tu kweli au na wengine. Ni kwamba mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ni mweusi but mrefu mimi ninapenda sana mademu weupe na wote mademu zangu 6 nimeowamiliki...
ninaomba msaada ni jinsi gani naweza kumtoa b**ra msichana maana sijawai kumtoa hata mmoja! sasa nimekutana na mpenzi mpya ambae ni bikra, nimejaribu kufanya nae zaid ya mara tatu, kila nikijaribu...
DUNIANI kuna mambo jamani! Usiku wa kuamkia juzi ulikuwa mbaya kwa mke wa mtu, Rukia Issa au mama Sabrina baada ya mumewe, Shukuru Nia kumfumania gesti na mwanamme mwingine huku yeye akiwa na...
Ukitaka kujua kama mwanamke aliyepakiwa kwenye gari hususani nyakati za asubuhi hasa kwa wale wa Dar kama ni mke wa anayeendesha gari utamjua kama ifuatavyo
1. Atakuwa amenuna (mwanamke na...
Hi wana Jf,
Wikiend yangu nimeimaliza vibaya kisa birthday.
Jana mpenzi wangu alikua anatimiza miaka kadhaa, alinialika na nilimpa kiasi fulani kwa ajili ya kaji-pat hako. Lakini kwa bahati...
Betty Mbereko, a 40-year-old widow who has been living under the same roof with her own son, 23-year-old Farai Mbereko is set to marry him.
The mother and son who are madly in love with each...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.