Ndizi:
Kwa kweli haipendezi kabisa mwanamke kula ndizi hadharani, inaweza kuwa barabarani au katika mghahawa wa wazi. Kitendo cha mwanamke kula ndizi hadharani kinampotezea mvuto kabisa na hata...
Naileta kama nilivyosimuliwa....
Kuna mdada au mmama alifumaniwa na mumewe kwenye getto la kijana wa kitaa.
Alivyoona mumewe anahangaika na mgoni (kumdunda na kumkamata) mdada karuka dirishani...
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni...
kunako mechi pevu ya kitandani utalaamu ni mhimu.
leo nataka tujadili matokeo na umuhimu wa kuzungusha viuno kwa wanawake.
lakini zaidi ni kwamba ni ajabu leo nimekutana na jamaa analalamika...
Kutokana na amri ya rais we2,ya kuwarundisha wahamiaj haramu.
Moyo umekutwa na simanz kwan nimeathirka kwa namna 1, kwan nilikuwa mwanamke wa kitusi na tuna watoto wa 3 na anamimba,
so nilikuwa...
Tokea nkiwa primary,secondary,chuo,kazin na mtaani kwa ujumla nimekua nikisikia si mara moja kua kuna makabila hasa kaskazin na kanda ya ziwa nchini kwetu wana mila na desturi ambayo naona ni...
Nimeona leo si vibaya tukashare hili jambo ambalo ni kati ya mambo muhimu katika maisha ya wanadamu.
Nimesikia na kuona watu wanapanga idadi ya watoto na wengine wanawekeana ahadi kwamba...
mwaume mwenye familia na watoto Anapoamua kuwekeza mgegedo kwa kukabidhi kipato chote kwa gubegube.
1.Watoto hawalipii tena ada
2.haachi hela ya chakula nyumbani
3.hata hela ya kalamu kwa...
Pamoja na kutupa ndoano kwa wasichana wengi zaidi toka naanza kupata hisia mpaka kuwa mkongwe katika maisha yangu ni mara moja tu ilitokea mrembo nikampa somo akakiri na kusema "NIMEKUBALI,hata...
Habar zenu wana jamiiForum nilikuwa naomba mnipe ushaur kuhusu hili-:Kuna siku wakat napiga simu nikakosea namba moja tu akapokea msichana kama mnavyojua vijana kupokea nikamwambia kuwa nakupenda...
Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia...
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa...
Heshima kwenu Wakuu!
Ni takribani wiki mbili hivi zimepita, mimi & wenzangu tulipokwenda mkoani Mwanza kwa ajili ya semina ya kikazi.
Ilikuwa semina ya muda wa mwezi mmoja ikihusisha wafanyakazi...
Nampenda bata,huwa anachelewa sana.
Simpendi kuku anawahi mno.
Nampenda bata huwa ana Gobole haswaa.
Simpendi kuku,sijui kale ni ka bamia.
Unapenda nini ndugu yangu?
nimekuwa katika utafiti kidogo kuhusu why wanawake wanapenda kuonekana weupe ndio uzuri. unakuta demu kwa color yake halisi ni mzuri but anajiribu kuitengeneza kwa design nyingine. Kuna siku...
Mimi ni mwanaume, ila siyo vibaya nikatoa elimu hii kwa wana MMU wote, walegwa zaidi ni madada zetu.
Amna kitu kizuri kama kama nyumba yenye furaha, amani na upendo, kuna vitu vichache ambavyo...
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe.
Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.