Nimejitahi niwezavyo! Lakini hili limenishinda...

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Usiitamani nyumbaya jirani yako, usimtamani mke wajirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

...Wanajanvi hapo kwenye nyekunda, nisaidieni...
 
Mmh! Hapo ngoja waje wapambanuz wa mambo kama Christine Ibrahm. Mm navojua ukitaman ndo inafuatia kupenda inamaana tusiwapende wanawake? Sasa tutazaana vp na kuongezeka na kuijaza dunia?
 
... Loh!
Wakati huku nikiomba msaada wa "hii inayonishinda"
...rafiki yangu kanitumia hizi hapa kumi:
1. Tendeni tendo la Ndoa bila kuchoka.
2. Peaneni style zote.
3. Mme juu, mke chini.
4. Chuchu zinyonywe wakati wote wa tendo la Ndoa
5. Mke ahakikishe dusha*****..., yote imeingia bila kubake.
6. Usifikilele (Usik**oe) kimyakimya, mwambie mwenzio.
7. Mwuulize mwenzio raha, utamu?
8. Akiwa na kigugumizi kujibu tambua vimemkolea.
9. Msifib mwenzio namna alivyo kupa hadi ukafika kileleni (ukak**oa)
10. Jiachie haswaa!!...na ukizidiwa hata kujamba katikati ya mchezo imo!..nda "siyo unajibanabana..., raha ikizidi achia..., papapappapa paaa..!
 
...dah! huyu naye namtamani sijui itakuwaje???
...bora hasije hapa..!
 
imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Usiitamani nyumbaya jirani yako, usimtamani mke wajirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

...Wanajanvi hapo kwenye nyekunda, nisaidieni...

.....samahani kidogo, Kwa uelewa wangu,..nitaielezea kiimani zaidi
....mwanadamu hawezi chochote bila msaada wa Mungu!
...ndo maana tunaambiwa frm bibble 'tuenende kwa roho wala hatutatimiza tamaa za mwili'...nimesahau mstari wake,wanaojua zaidi yangu watasema hapa!
...Yesu alipokuwa anaondoka alisema atatuletea msaidizi, ambae ni 'Roho mtakatifu'....ss basi huwezi kufashinda hizo tamaa km huna 'Roho mtakatifu'
...wengine wanaweza kuongezea
Cc:himidini
 
ndio mana tunatakiwa kutubu kwa matendo yetu na kwa mawazo yetu.
Kuwa tumekosa sana.
NANI ASIYETAMANI???Hayupo hata mimi mkuu nilishashindwa.
I AM TEMPTED TO TOUCH,I AM TEMPTED TO LOOK AND ADMIRE.
tuendelee kuomba msamaha tu
 
Lisilowezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana, Roho wa Mungu tu atatuwezesha kushinda hayo,
 
.....samahani kidogo, Kwa uelewa wangu,..nitaielezea kiimani zaidi
....mwanadamu hawezi chochote bila msaada wa Mungu!
...ndo maana tunaambiwa frm bibble 'tuenende kwa roho wala hatutatimiza tamaa za mwili'...nimesahau mstari wake,wanaojua zaidi yangu watasema hapa!
...Yesu alipokuwa anaondoka alisema atatuletea msaidizi, ambae ni 'Roho mtakatifu'....ss basi huwezi kufashinda hizo tamaa km huna 'Roho mtakatifu'
...wengine wanaweza kuongezea
Cc:himidini

2Wakoritho10:2-5---tuenende kwa roho wala hatutatimiza tamaa za mwili
Just make the bible standard of your life.
Read the Word, meditate upon the word,then do the word!
His word cleans and washes!

Epuka mazingira ya vishawishi
Epuka marafiki wanaoweza kuku influence!
 
ndio mana tunatakiwa kutubu kwa matendo yetu na kwa mawazo yetu.
Kuwa tumekosa sana.
NANI ASIYETAMANI???Hayupo hata mimi mkuu nilishashindwa.
I AM TEMPTED TO TOUCH,I AM TEMPTED TO LOOK AND ADMIRE.
tuendelee kuomba msamaha tu

Katika nyaraka wa Petro anaonya juu ya kujua kweli na kutoitendea kazi!
Unatakiwa kuwa na toba ya kweli inayo kusudia kuacha dhambi na kutenda yaliyo sahihi
ukiwa na toba ya kweli ndipo Roho wa Bwana Yesu anakusaidia kwa kukutoa ktk vishawishi vya kurudia dhambi hiyohiyo!

Nani achunguzaye Roho ya Mungu ila Roho Mtakatifu na roho ya mwanadamu kadhalika!
Hivyo kusema you know yourself better than anybody else!
Pia inaonya linda sana Moyo wako ndiko zitokazo chemichemi za uzima!

The greatest Gift ever Jesus gave us is the power of choice!- Deutronomy 30:15- to the end
You can choose life or death, it isnt upon the Lord to decide for you!
 
Ndo nishakuja eti!?

...mdomo wangu ulikuwa mzito kukwambia...kuwa...kuu wa kuwa ninakukuku tamaaa ni sana, lakini kwa kwa vile umekuja hapa sina jinsi ina inabidi nikweleze.... Lakini naomba usimweleze jamaa,..

...back to the topic...

Babie leo umevaa nguo ya aina gani ?
 
.....samahani kidogo, Kwa uelewa wangu,..nitaielezea kiimani zaidi
....mwanadamu hawezi chochote bila msaada wa Mungu!
...ndo maana tunaambiwa frm bibble 'tuenende kwa roho wala hatutatimiza tamaa za mwili'...nimesahau mstari wake,wanaojua zaidi yangu watasema hapa!
...Yesu alipokuwa anaondoka alisema atatuletea msaidizi, ambae ni 'Roho mtakatifu'....ss basi huwezi kufashinda hizo tamaa km huna 'Roho mtakatifu'
...wengine wanaweza kuongezea
Cc:himidini

...kwagu mimi "naomba Mungu Anisamehe"
...matamanio siyo rahisi kuyaepuka..., ukiwa mwanamke mzuri lazima nitakutamani..., na kama kutamani ndiyo kuzini[color] basi nitakuwa nimezini sana...
"kwa hili' ME tumeonewa"
kama ingekuwa inaruhusiwa, ninge andamana kudai usawa!
 
2Wakoritho10:2-5---tuenende kwa roho wala hatutatimiza tamaa za mwili
Just make the bible standard of your life.
Read the Word, meditate upon the word,then do the word!
His word cleans and washes!

Epuka mazingira ya vishawishi
Epuka marafiki
wanaoweza kuku influence!

...kwa ulimwengu wasasa... Wanawake wanajitahidi kwa kila aina kuwa wazuri..., kama sura halipi, basi atajitahidi kwenye maumbile mengine ya mwili wake; hips, miguu, kuonyesha mapaja, kutunisha maziwa, wakati mwingine kuvaa nguo za kubana ilimradi apendeze..., na akisha pendeza lazima tutamani
...
 
... Loh!
Wakati huku nikiomba msaada wa "hii inayonishinda"
...rafiki yangu kanitumia hizi hapa kumi:
1. Tendeni tendo la Ndoa bila kuchoka.
2. Peaneni style zote.
3. Mme juu, mke chini.
4. Chuchu zinyonywe wakati wote wa tendo la Ndoa
5. Mke ahakikishe dusha*****..., yote imeingia bila kubake.
6. Usifikilele (Usik**oe) kimyakimya, mwambie mwenzio.
7. Mwuulize mwenzio raha, utamu?
8. Akiwa na kigugumizi kujibu tambua vimemkolea.
9. Msifib mwenzio namna alivyo kupa hadi ukafika kileleni (ukak**oa)
10. Jiachie haswaa!!...na ukizidiwa hata kujamba katikati ya mchezo imo!..nda "siyo unajibanabana..., raha ikizidi achia..., papapappapa paaa..!

Bra-joe ameipenda hii.
 
kama ni hivyo basi macho yanadhini kila sekunde
 
...kwagu mimi "naomba Mungu Anisamehe"
...matamanio siyo rahisi kuyaepuka..., ukiwa mwanamke mzuri lazima nitakutamani..., na kama kutamani ndiyo kuzini[color] basi nitakuwa nimezini sana...
"kwa hili' ME tumeonewa"
kama ingekuwa inaruhusiwa, ninge andamana kudai usawa!

Aisee, inabidi tuandamane maana inawezekana hiyo sharia waliwekewa akina batholomayo, yuda ,magdalena ,enzi hizi za pedo na mini haki ya Mungu tunaonewa wanaume, tutakutana sana maeneo ya jehanamu kwa style hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom