Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Habari zenu wapendwa MMU,
mnisamehe kuleta post hii hapa badala ya jukwaa la siasa ni mazoea tuu jamani sijawahi kuingia kule na hapa ndo nimepazoea. Yaani jana sikuona taarifa ya habari na leo asubuhi pia sikuiona as nilikuwa njiani nimekutana na magazeti hapa ofcn ndo napata news naomba mwenye clip ya video ya tukio zima la vurugu na kilichoendelea baadae tafadhali.
Asanteni kwa msaada wenu.
Siku na kazi njema.
Mkunde