Usaliti

Usaliti

Switone

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
120
Reaction score
47
Msaada samahani,Mume anakuambia laivu kuwa ana mwanamke nje na hujamkosea lolote na muda huo anakuambia anakupenda sana, Kiukweli inauma na sijui nifanye nini.
 
Kabla haujajua nin ufanye jua kwanini anamwanamke nje..Hapo ndo utajua uanze kulitatua vipi hilo tatizo.Pole sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kabla haujajua nin ufanye jua kwanini anamwanamke nje..Hapo ndo utajua uanze kulitatua vipi hilo tatizo.Pole sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Hamna tatzo..Anasema ndo maisha aliyoamua ayaishi kwa sasa hivi.
 
Fanya yafuatayo:

1. Kapime VVU haraka sana.
2. Mchukue mumeo akapime na yeye VVU
3. Kama majibu ni Negative tumia CONDOMS
4. Baada ya miezi mitatu kapime tena wewe na yeye
5. Kama majibu ni Negative endelea kutumia condom na mumeo MAISHA YOTE as long as anaendelea mahusiano yake huko nje na kama hautaweza utakuwa kwenye hatari ya:- (i)Kupata magonjwa ya zinaa
(ii)Kuambukizwa VVU
au achana nae sio muaminifu.
6. Kama majibu ni Positive anza kutumia dawa za kurefusha maisha
 
Asante kwa ushauri, Kiafya nipo ok Ila inauma kwa kweli.
 
Msaada samahani,Mume anakuambia laivu kuwa ana mwanamke nje na hujamkosea lolote na muda huo anakuambia anakupenda sana, Kiukweli inauma na sijui nifanye nini.

Bora kakuambia ukwel, kuliko angekufanyia surprise!
 
Kama unamwamini Mungu muumbaji nenda kwenye maombi. Shetani anafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha anaiharibu ndoa yako.
 
ni mfano wa mume huyo wale vimeo wasiokuwa na maana katika ndoa kazi zao kuumiza watoto wa watu mda wake ukifika atajutia hayo wicked husband
 
Weeeewe!
'KAMA TAMU TULE SOTE!' hiyo ndio dawa yake! Tulia kama mwezi m1 hivi, then msubiri katulia pale, MWAMBIE UMEPATA BWANA MWENGINE!!!!! Serious! Haumchekei wakati unamwambia hivyo! Au hauwezi kuvaa sura ya Mbuzi?
Pole tu dada!
 
Back
Top Bottom