Nawasalimu wana MMU,
Ilikuwa ni siku ya Jumatano saa nane mchana tarehe 21/08/2013, nikiwa Bwagala Hospital ya Kihonda nilimpoteza mwanangu kipenzi Glory. Nilimpenda sana alikuwa ana miezi sita...
Habari zenu wakuu,
Kama hakutakuwa na mabadiliko hiyo ndiyo tarehe ninayotarajia kufunga ndoa
kila kitu kinaenda vema, najua ni vigumu kuchangia fedha n.k lakini ni rahisi
kushiriki kwa hisia...
habarini wanajamvi!Naombeni mawazo yenu he ni zawadi gani simple unaweza toa kwenye harusi??Kwa maharusi na wazazi wa bwana harusi??budget ya zawadi laki 5 hivi.Natanguliza shukrani!
Habari zenu JF. Mi member wa longTime lakini huwa sipost mara kwa mara.
Demu wangu anataka kunipanda kichwani. Kuna kazi aliiona aka apply sasa kaitwa kwenye interview na huenda akaanza October...
Great thinker naomba tusaidiane ushauri me nna kaka yangu ameoa huu mwaka wa tatu ndo hakuna mtoto,wadogo zake alowatangulia kuoa wote sasa hv wanawatoto na yy umri ndo unazidi kwenda maana ameoa...
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha...
Mwanadada wa Nigeria ndiye mshindi wa shindano la urembo kwa wasichana wa kiisilamu mjini Jakarta Indonesia.
Obabiyi Aishah Ajibola, 21, alishinda shindano la kimataifa la...
Habari zenu wadau?
Yapata mwaka toka nitambulishwe katika familia moja ya kifahari kama kijana mwenye maadili bora na mpole, japo mtambulishaji mengi alitia chumvi na kwa kuwa hakuwa ananifahamu...
Jamaa mmoja alioa mwanamke wakapata watoto watatu kisha wakaachana. Yule jamaa akabaki na watoto wake. Baadaye aka funga ndoa na mwanamke mwingine. Huyo mwanamke mwingine na...
Wadau,
Mimi ni kijana wa miaka ishirini na nane,nina degree ya uhasibu na nilifanikiwa kupata ajira soon after chuo.
Nikiwa nimeshaanza kazi,nilianza mahusiano na binti wa miaka 18 nikiwa...
Wana jamvi, polen na hongeren kwa kazi za siku ya leo.
Wapendwa wangu naomba nichukue nafasi hii kuongelea hali ya hewa hapa MMU. Kwa wale ambao ni wagunduzi watagundua kwamba hali si shwari...
Habari WanaMMU. Nina maswali haya;-
(Wanaume); Je, unamchukuliaje Mpenzi wako anapokuambia kila Mwanaume anaemtongoza.
(Wanawake); Hivi mnajifikiriaje kumwambia Boy wako kuwa flani na flani...
Wasichana hawaelewiki kabisa.Wamekuwa ni chanzo cha deppression.
Wanakupa matumaini na ahadi za milele lakini amini usiamini muda wowote unageukwa tena na matusi juu.
Inauma sana msichana mpaka...
Daah sometime unaweza ukabaki kama bubu pale unapokutana na msichana mzuri na kushindwa uanze vipi kumueleza hisia zako kiukweli nilijikuta nashindwa kumwambia ukweli kwa kumwangalia na kusifia...
Nature haikopeshi kunaumri flani ukifika utakuta life inkupush kuelekea kwenye mifumo iliyopo katika dunia hii ambayo muasisi wake ni mungu.
Baada ya umri kusogea hatimaye naona muda...
Uvaaji wa wanawake wa namna hii huamsha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume kwa kiwango kikubwa sana....
Carol Botwin ambaye ni mtaalamu anayeaminika sana kwenye masuala ya tendo la ndoa na...
Kristu Tumaini Letu!(Mambo ya kwaresma yanaendelea!)
IGWEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Eti yadaiwa kuwa wanawake wengi wetu huwa akitokea mwanaume mwema, anakupenda na kukujali unamuona...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenzangu imekuwa fashion siku kusikia eti mtu kaibuka tu nae mfundaji! Au sijui mama mchungaji anatoa somo mambo ya ndoa au jinsi ya kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.