Mpenzi anaekuambia wanaume wanaomtongoza

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Habari WanaMMU. Nina maswali haya;-
(Wanaume); Je, unamchukuliaje Mpenzi wako anapokuambia kila Mwanaume anaemtongoza.
(Wanawake); Hivi mnajifikiriaje kumwambia Boy wako kuwa flani na flani wamenitongoza? Mnakuwa mnamaanisha nini haswa?.
 
Samson don't be too sure. Atakwambia asiowapenda tu. Wake anaowakubali hatokwambia kamwe. Usiwe zoba, fungua macho mkuu.
 
Ndio ujue we ukiona cha nini kuna wanaosema watakipata lini!!
 
Sidhani kama ni sahihi kumwambia mpenzi wako flani amekutongoza! Hata kama huyo flani anajua wazi kama mpenzi wako ni flani!!!!!!!!!!!!
EXCEPT
ikiwa huyo anaekutongoza awe simuelewa na analeta usumbufu!!!!!!!
...
Mtazamo wangu umeegemea matukio yaliyonitokea mwenyewe!
 
kama tuna aminiana haito niuma maana kiukweli bora akwambie ili ataukikuta sms za usumbufu kwenye simu yake itaniwia rahisi kumwelewa Munkari

Bariki simu ya demu wako unaishika ya nini kiongozi wangu. Wanawake huwajui, oh hoo
 
Last edited by a moderator:
Habari WanaMMU. Nina maswali haya;-
(Wanaume); Je, unamchukuliaje Mpenzi wako anapokuambia kila Mwanaume anaemtongoza.
(Wanawake); Hivi mnajifikiriaje kumwambia Boy wako kuwa flani na flani wamenitongoza? Mnakuwa mnamaanisha nini haswa?.

7bu unampenda na unakuwa mwazi kwa kila kitu kwake, kwani kuna wanaume wanaowaambia pia madem zao pale mdada anapomtaka
 
Habari WanaMMU. Nina maswali haya;-
(Wanaume); Je, unamchukuliaje Mpenzi wako anapokuambia kila Mwanaume anaemtongoza.
(Wanawake); Hivi mnajifikiriaje kumwambia Boy wako kuwa flani na flani wamenitongoza? Mnakuwa mnamaanisha nini haswa?.

tunamaanisha kwamba TUNAPENDWA. Kwa hiyo ujihadhari.

kutongozwa suna babu..
 
Mie nadhani ni ushamba maana mwanamke ili ukamilike kutongozwa ni kawaida, sasa utakua unatangaza kutwa ili iweje? Unataka kuonekana mzuri? Of coz, huyo unayemtangazia kutongozwa kwako keshakuona unafaa ndio maana yuko na wewe.
Wanawake wenye ulimbukeni huu wako wengi na mara nyingi sio kweli, inatokana na kutojiamini. Sasa anakuambia anavyotongozwa kama justification kua yeye ni mzuri. Hata kwa mwanamke mwenzie pia kutwa atakuhesabia wanaume waliomtongoza, wakati mwingine hudiriki hata kukuambia jamaa yako wewe aliwahi kumtongoza, wakati sio kweli.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama yeye mwenyewe anakuambia ukipata usumbufu niambie, baada ya muda anauliza hivi wewe ukienda mahali flani hautongozwi, au ofisini kwenu nani anakutaka na vitu kama hivyo.
Ina maana hutomwambia??!
 
me nampenda huyo maana
ni muwazi na anakwambia il ujue kama kunahtajika msaada wakuondoa
usumbufu

hahaha ahaaaaa
ndugu yangu hao unaoambiwa basi ujue hawana ishu, no mvuto, no ukwasi...

kama ishu ina tija wala hutaisikia... utakutana tu na manyoya
 
Back
Top Bottom