Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,964
- 2,192
Wadau,
Mimi ni kijana wa miaka ishirini na nane,nina degree ya uhasibu na nilifanikiwa kupata ajira soon after chuo.
Nikiwa nimeshaanza kazi,nilianza mahusiano na binti wa miaka 18 nikiwa naamini mahusiano yetu ni ya kawaida tu na hayataenda mbali mpaka kufikia hatua ya kupata mtoto,binti alipata ujauzito na ikawa ni vita baina ya wazazi wake na mimi.
Mungu saidia akajifungua salama mtoto wa kike ambaye ana umri wa mwaka mmoja sasa,binti bado anaishi kwao ilhali nikiendelea kutoa matunzo ya mwanangu kila mwezi.
Nikiwa kazini,nikakutana na binti mfanyakazi mwenzangu,huyu yeye anaye mpenzi wake ambaye wamekuwa katika uhusiano yapata miaka minne sasa.
Ishu ikaanza baada ya mpenzi wake kupangiwa kazi mkoa wa mbali,sikujua mwanzon kama demu ana mtu,nikapiga sound na haikuchkua muda nikaanza uhusiano ambao sikujua mwisho wake utakuaje,coz sikudhani kama nampenda toka moyoni,nilimchkulia kama wakuzugia tu.
Mapenzi yakakomaa na demu akaanza kuwa na wivu wa ajabu ajabu..mara niachane na issue za mtoto nimuoe mara nn,nikawa najibu vizuri tu ili uhusiano usife.
Ikafika kipindi na mimi nikahama kampuni niliyokuwa nafanya kazi na kuhamia mkoa wa mbali pia,boi frnd wa wa yule dada akawa anamtebelea manzi ake kipindi cha likizo na kujisepa.
Niliamini sababu niko mbali uhusiano utakufa,demu akawa analalamika saaana anataka tuonane amenimis na ananipenda saana issue ikawa ni umbali uliopo kati yetu.
Toka bwana wake apate kazi mkoani demu hajawahi kumtembelea lakini ingawaje mimi niko mbali kuliko hata jamaa wake alipo demu amenifuata na tumepiga bata takatifu mpaka ananiambia anamuacha jamaa wake.
Sio dem wa vizinga na inaonekana kweli ananipenda,na baada ya kukutana huku mkoani hata mimi sasa nimeanza kumkubali na namfikiria saana,issue ni mtoto wangu na yule mwanakmke niliyezaa nae..ni mstaarabu na mpole na analea vizuri sema moyoni mwangu hayupo.
Napata wakati mgumu coz demu ananiambia nimuache yule wa kwanza mwenye mtoto na yeye atamuacha jamaa tuoane!
Jamaa wa dem anampenda sana na kumgaramikia pia.
Napata ugumu kufanya uamuzi!