Wadau,
Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.
Wadau hapa kuna...
Dunia imebadilika sana hasa kwenye suala la mapenzi
Nimefanya utafiti mdogo kupitia Fb kwa muda mrefu nimegundua wasichana wengi siku hizi wamepoteza bikra zote mbele na nyuma
Hata wavulana wengi...
Khabarini wana jukwaa.
Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
Katika mahusiano wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi. Kuna wakati mwanamke anaweza kujaribiwa na kujikuta akikabiliwa na hatari ya kumsaliti mwenzi wake.
Kujaribiwa huko kunaweza...
Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa...
Wakuu habari za majukumu?
Nimetafakari maneno yaliyo kwenye moja ya post za Nifah nikajisikia kumtunuku kuwa ni Dada smart wa siku.
Kilichonivutie kwake ni kipande hichi cha sentensi na nukuu...
Baadhi ya wanaume walio wengi huwadisi single mam kwa sababu kuu 3 zifuatazo,
1.Kutokujiamini,wanaume wengi wanaowadisi single mam huwa hawajiamin yan ni wale wanakua na wivu wa kijinga kwamba...
Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu...
Mwandila mabestito,
Yaani leo nimesoma kada moja hapa ambayo imenipa simanzi ya aiana yake kiasi kwamba imenibidi niandike hichi kitu hapa kwani sijawahiI ona sijawahi sikia na sijawahi...
Nimegundua wanaume wenye sura ya kawaida na uvaaji wa stara kama vile suruali na mkanda na Tai wanapenda kweli na wana maamuzi ya kiume ni wa kweli hawana longolongo.
Tofauti na hawa tunaoshea...
Wakuu,
Naomba msaada wenu wa kimawazo juu ya kumnasua huyu Mjomba wangu ambaye amenaswa na kitoto kidogo cha darasa la saba jijini Tanga.
Ipo hivi huyu Mjomba wangu tumepishana kiumri kidogo...
Nilijiunga Facebook muda kidogo kama miaka 6 sasa na kipindi chote nimekutana na watu mbali mbali ila sikuwahi kuwa na tamaa na mwanamke wa Facebook kwa maana ya mkumtongoza mwanamke Fb mpaka...
Umri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika Taasisi ya Serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja.
Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na...
Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha...
Habarini,
Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.
Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge...
Habari wakuu,
Kuna mdada mmoja ni fundi chereheni, ana mtoto mmoja, tuna mahusiano mwaka wa pili huu sasa ila naweza kuyaita mahusiano yetu ni ya msimu (seasonal relationship).
Nilishawahi...
Juzi nimekutana na mwanamke ambaye hana kinyaa, kainyonya yote baada ya muda mchache nimefika kileleni nikajua atatoa lakini akameza kabisa.
Tumemaliza nimekaa naye tunapiga story najua labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.