Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede, Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa, Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu? Kutulia na mke...
2 Reactions
2K Replies
143K Views
Shalom, Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya mikoa na wilaya zake hapa Tanzania kuna mikoa ni kiboko kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na nyakati za kwenda kuoga kwa kuvaa kijola laini au...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Bila shaka, hapa kuna maelezo zaidi kuhusu maisha: Maisha ni nini? Maisha ni hali ya kuwa hai. Ni kipindi kati ya kuzaliwa na kufa kwa kiumbe. Maisha yanajumuisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na...
2 Reactions
1 Replies
348 Views
Kwa wanandoa hii inahusu sana wanawake familia nyingi ziko mbioni kuharibika kwa sababu mke na mme wote ni viburi hakuna mtu wakushusha sauti jamani wanawake ebu jitambueni kuwa ninyi ni nani...
3 Reactions
14 Replies
665 Views
Natumai mu buheri wa afya tele, Bila kupoteza wakati, naombeni tiba ya kutatua tatizo hili. Nina tatzo la kumchukia mtu yeyote nnayekutana nae barabarani anaefanana na adui yangu ama mtu...
2 Reactions
8 Replies
765 Views
Wasalam! Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi. Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara...
58 Reactions
281 Replies
19K Views
SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA 1. Wakarimu 2. Waaminifu 3 . Wavumilivu 4. Wachapakazi 5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌 Nani anabisha ? 😁ajifanye kama anajikuna😁😁😁😁😁
18 Reactions
183 Replies
44K Views
Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela. Ni jambo...
14 Reactions
72 Replies
3K Views
Mapenzi hayana bima wala hayana formula maalumu ambayo kila mtu anaweza kuitumia na kupata matokeo yenye kufanana. Unaweza kutengana na mwenza wako saa yoyote,muda wowote bila kujali uwekezaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia...
0 Reactions
8 Replies
894 Views
Wakuu Hakuna hata mmoja asiyemjua holoholo humu jukwaani. Kila mmoja wenu anajua kuwa mimi ni nani, nafanya nini na uhalisia wangu ukoje ijapokuwa hamjawahi kuniona hata mmoja wenu. Wengi...
5 Reactions
23 Replies
891 Views
Naombeni msaada ni jinsi gani naweza jinasua na hili janga. Nimefikia hatua ambayo nisipoonja mbususu ndani ya siku tatu napata disturbance kwenye mkuyenge, yaani nakosa amani, uhuru, utulivu...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wadau musalam!!! Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa... Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Shikamooni, Kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula...
13 Reactions
174 Replies
36K Views
Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
"Post mshindo clarity" ni ile hali akili inapotulia ikiwa haina tena wenge la tamaa za mwili baada ya kupiga mshindo au mishindo ya kuzimaliza hamu ya ngono, leo kilichonipata duhh! Binafsi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ananisimulia jamaa yangu:- Miaka kama tisa iliyopita nilikuwa kwenye mahusiano na Mwanadada mmoja tuliyekuwa tunafanya nae kazi kwenye kampuni moja. Ndani ya miaka mitatu mapenzi yetu yalikuwa...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Igweeeeeeeeeeeeeee!!!! Bado sijarudiii kiandika like kurudi. I am retired as promised except this story if a story of my friend! For now best friends huko mbele Nina mpango wa kuwa ndugu yake...
28 Reactions
1K Replies
162K Views
Wakuu , mchumba wangu wa zamani alioa zenji. Hakuachana hadi Leo. Rafiki zangu wameoa Zanzibar wote hadi naleo hawajaachana . Tujuzeni mapenzi ya Zanzibar yakoje? Yapojee? Maana sio...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Rafiki zangu wengi ninao piga nao kazi uwa wanaishi zaidi na watoto wao mwanamke anakuwa moshi. Ni mwaka na nusu rafiki yangu Moshi simjui mke wake. Kwann hii wandugu?
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom