Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,094
Baadhi ya wanaume walio wengi huwadisi single mam kwa sababu kuu 3 zifuatazo,
1.Kutokujiamini,wanaume wengi wanaowadisi single mam huwa hawajiamin yan ni wale wanakua na wivu wa kijinga kwamba akiwa na single mama hawezi kuwa nae pekee bali atashare tu na mzaz mwenzie pia wengine wakijilinganisha na mwanaume alozaa na huyo single mama akicompare na yeye akiwa amezidiwa vingi anakosa kabisa confidence ya kuwa na huyo single mam hivo anaishia kudisi tu.
2.Kupenda mteremko,wanaume kupenda mteremko single mam huwa hawapendi wanaume wapenda mteremko wanapenda mwanaume anaejielewa na ambae anaweza akamsaidia akipatwa na shida yoyote ile hivo kwa wale wapenda mteremko wengi hawakubalik na single mam.
3.kupigwa kibut,single mam ni watu wanaojiamin sana na huwa wanapenda pia kuwa na mwanaume mwenye msimamo asa kama ww mwanaume hueleweki huna msimamo hujitambui hawachelewi kukupiga kibut ukaishia kudis tu.wanaum mkiona mmeshindwa kwa single mam msidis tafuten level zenu sabu single mam wapo makin wanaogopa kulzwa tena