Tujuane hapa mwenzenu mimi navutiwa na wanawake warefu wembamba je wenzangu?

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,172
1,582
jaman tujuane kabisa mimi ugonjwa wangu ni wanawake warefu wembamba huwa narizika saana je wenzangu....? ata mwanamke waweza toa maoni na wewe
 
Wafupi warefu kidogo wanene wembamba kidogo wenye sura mbaya kidogo.

Unauliza nani sasa ambae unamfahamu humu na ili iweje ukijua aina ya wanawake anaopenda?.
 
Back
Top Bottom