Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa
"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"
basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana
walahi vocha ya kupewa tamuuu
"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"
basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana
walahi vocha ya kupewa tamuuu