Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,730
Habarini,
Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.
Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.
Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa.
Naombeni ushauri wenu