Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya kuaso kutafuta kazi hapa town hatimaye nikapata kwenye kampuni moja ya shipping, day 2 wakati wa introduction kwa stuffs ambayo ina watoto wengi wa kihindi. Baada ya mwezi kuna kabinti...
0 Reactions
48 Replies
14K Views
Habari zenu, Katika kuchunguza maisha ya watu hasa wanaume nimegundua hawabadiliki. Kama mwanaume ana zaa zaa ovyo ataendelea hivyo, kama ni Malaya (player) ataendelea hivyo hivyo. Wanawake...
3 Reactions
89 Replies
6K Views
Sina uhakika kama tanzania tuna chama cha kutetea wanaume waonja shubiri ya vipigo kutoka kwa wake zao. MANAKE KUNA WANAWAKE WENGINE NI MITHILI YA WANAMIELEKA afu unakuta mume ni yule aina CHIPS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wakubwa. Baada ya mwanamke kujifungua, na ikiwa alijifungua bila complications zozote, anatakiwa kuchukua muda gani kabla ya kuanza tena kufurahia tendo la ndoa na mumewe au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watoto kuwachagulia shule sahihi na msaada sahihi kulingana na uwezo wao kiakili na uwezo wa kifedha. naleta mada hii nikijua kuna wadogo zangu nchi nzima wanatarajiwa kuanza fm1. 1.SHULE ZENYE...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataraji mko poa waungwana.. Ki ukweli mimi ni mmoja kati ya watu ambao nikitokewa na kitu kizuri ama kibaya maishani huwa kwanza natafakari kujua ni malipo ya kitu gani nilichokifanya siku za...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
^^ Nimepokea simu toka kwa rafiki yangu kipenzi, Huyu tumekua nae,tumecheza nae,tumesoma nae ananijua vizuri nami namjua vizuri ... Lakini simu yake haikuwa ya furaha siku zote,iliambatana na...
7 Reactions
135 Replies
10K Views
Imezoeleka kuwa wamama na wadada wengi hugombana wenyewe kwaajili ya mume / mwanaume. lakini Leo mpaka naandika kisa hiki Kuna jirani yangu (fundi) sio jina halisi alikuwa na small house bila...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Muhali gani wapendwa? .. Hapa nimepata kigugumizi! Kuna Msichana 1 anasoma O level, (per day school) mm na yeye ni majirani. Huu ni mwaka wa tatu nimekua nikimsaidia kimasomo (sio kumpa hela)...
0 Reactions
93 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa Jarida maarufu la MensHealth, kuwa makini na sababu vyanzo vifuatavyo, ambavyo vinaweza kupelekea mke au mpenzio kutoka nje, yaani “Kuchit”. 1. Anatimiza miaka 20, 25, 30...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Haya mabinti wenye sifa zifuatazo mjitokeze Mume nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Awe Mzuri Kupindukia Awe na Degree Awe Bikra (Nataka nijizindulie) Awe na Heshma Teleeeeee Awe...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimewahi kufahamu njia inayokuwezesha kupata mtoto jinsia uitakayo. Kama kuna asiyefahamu basi nitaeleza. Mwanamke ana chromosomes XX, na mwanaume ana chromosomes XY. MTOTO WA KIUME: Mtoto wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kweli dunia hadaa, nisawa na mwizi kukamatwa akiiba na ushaid upo halafu polisi ana mwachia nakusema nenda nimekusamehe ,siju huyo mwizi ataondoka kwa stairi gani eneo latukio,.,,MPAKA SASA SINA...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana jf rafki yangu andai hajawai kupiga mastabetion bt hajawai kupizi wakati wa kubofya. Pia wakati mwingne anakuwa na hamu ya kufanya tendo la ngono bt demu akivua tu jogoo analala. Plz naomben...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
....hivi, hebu nyie watu wazima wenzangu incl Dark City, @ nyumba kubwa, Lizzy, Mr Rocky, Nyamayao,..... Mniambie hii kitu kwenye ndoa, Mume/mke anakuwa; -hapendi mwenza wake akisifiwa...
9 Reactions
93 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wanaMMU... Leo hili jambo la trust kwenye mahusiano limekuwa likijirudiarudia sana katika kichwa changu. Mahusiano mengi sana yanavunjika sababu ya kukosa uaminifu. Kuna vitu...
35 Reactions
362 Replies
22K Views
..enzi zangungu hakukua na simu..wanaume tukasugua suli za viatu.. SWALI.. HAWA VIJANA WA LEO AMBAO WANAJIKUTA WAMEDONDOKEANA KWA BAHATI MBAAYA...NA WANAONA. ARE THEY REALY IN LOVE?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Niraha iliyoje kuwa na mtoto! Unakuwa so proud wajamen! Kuna furaha kubwa mno ambayo haielezeki! When you look at him/her automatically wajikuta umetabasamu! When you see your child is happy...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
..nipeni sifa za madem vicheche..... Please kama kuna ''ME'',anajua sifa AZIMWAGE. WITH DUE RESPECT... MODS'
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…