Kyooma
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 224
- 98
Baada ya kuaso kutafuta kazi hapa town hatimaye nikapata kwenye kampuni moja ya shipping, day 2 wakati wa introduction kwa stuffs ambayo ina watoto wengi wa kihindi.
Baada ya mwezi kuna kabinti ka kihindi kakaanza kuja less full shobo ila kako vizuri sura nywele mpaka kwenye makalio ila ndo kamepigwa pasi kako FLAT.
Majuzi wakati tupo lunch akanfuata na kuniambia kwamba anata nimgegede azae na mimi eti siku nyingi alikua anatafuta black kama mimi so moyo wake umedondokea kwangu.
Bosi wangu wa kidosi kumbe alishahisi kitu mimi na huyu dogo, sasa leo boss kaniiita kaniambia nchague niachane na huyu binti niendelee na kazi au aterminate mkataba wangu anipe mil 3 niache kazi.
Na mm nlitaka nilambe sukari ya huyu kuch kuch ingawa wanasemaga kwenye papuchi zao kama kuna barafu.
Wakuu nipo dilema sijui nchukue mil 3 nsepe bila kuramba sukari? au niendelee na kazi huku nikila kwa macho?