Kweli dunia hadaa, nisawa na mwizi kukamatwa akiiba na ushaid upo halafu polisi ana mwachia nakusema nenda nimekusamehe ,siju huyo mwizi ataondoka kwa stairi gani eneo latukio,.,,MPAKA SASA SINA RAHAA, nilikuwa na dem ambaye tulikuwa tuna soma nae kozi moja mapenz yalianza mm nikiwa mwaka wa pili ,nikamaliza kozi nika muacha chuo,chuon ukafika wakati wakupeleka vyet barazan dem wangu ikaone kana ana chet (fake) akafukuzwa chuo ,hakun ambia taarifa hiz hata sikumoja,basi akarudi kwao(mara) taarifa ni kapewa na jamaa zangu wengi tu,yeye siku muliza,kutokana na umbali wa mm na yeye bas mapenz yetu yakawa ya kwenye sim ,mim nili bahatika nika pata kazi nikiwa kazin nikatafuta dem mwingine,yule nilikuwa nmekata tamaa,japo mwanzo nlimwambia sehem nayo fanyia kaz dem yangu wa mwanzo ,huyu mpya nilikuwa nikiwa kazin ,alikuwa ana kuja geto anapika anafua ana rudi kwao ,na kwao aliwambia ana mchumba atakuja kujitambulisha siku yoyote ile ,nilimpa funguo ya geto kwahiyo kama sipo anakuja geto ana pika
dem akawa na mazoe ya kuja geto na kufanya lolote lile alipendalo ,basi alikuwa ha amin kama na weza kumsariti ,akanimbia ana taka kusafiri kwenda iringa kusalimia ndugu so sikumkatalia ila nikamuliza utakaa siku ngapi akajibu wiki moja ,basi nikamuanda lia nauli siku mbili zilizo fata akaondoka ,AMINI USIAMINI siku hiyo hiyo jion nikapigiwa sim na dem wangu wa mara ,basi nika pokea simu tukasalimiana kama kawaida ni kamwambia nime kumisi,alicho jibu ,,, mi ndo nimekumisi zaid ndomana nimekufata na hivi nimefika(akataja sehem ambayo ni karibu na wilaya nilipo sikuamini ,akaniambia nimsubiri stend ,basi nikaenda stendi kumsubiri ikapita kama dakika 20 nikamwona ndani ya gari ,macho njenje tu ,basi kwa furaha nikamkimbilia nika mpokea begi ,mkoba akakataa akabeba mwenyewe,tukafika geto ,basi ikawa ni stori tu,nikamwandalia msosi ,japo moyo ulikuwa na mawilikuwa akirudi yule itakuwa je? na huyu anta mwambiaje? wazazi wayule watanionaje? ,
BASI nikiwa nimejuliza mswali ya siona majibu ,ikanibidi nijikaze,dem wangu wa iringa alikuwa ikipiga cm naongea nae stori za kawaida iliyule asishituke ,basi wamara akaniambia kuwa hato kaa sikunyingi atarudi kwao kwakuwa alikuja na kuchua form katika chuo cha (TIA) nikamuliza unataka uanze kusoma akasema hapana nikwajiri ya mdogo wangu baada ya siku nne akaniambia kesho narud nyumbani basi sikuiyo akafanya usafi geto nakupanga vitu vizuri kesho yake nikamsidikiza akaondoka ,basi nikajifanya nimemsi sana wairinga nikampigia sim bas nae akasema nakuja kesho ,kesho yake akaja miniko kazin akapitiliza geto bila kufika kwao ,alivyo ingia geto akaona mmebadirika ,mm sikujua yule wa mara aliachani,huyu sijui kikamtumann kuangalia kwenye begi alicho kiona hakumamin,akaona gauni nashindilia,akanipigia njoo geto,nikaja nikakuta ameviweka kitandani analia,nika mwambia nilianika nguo nje navyo anua nimea nua nazawapangaj,akasema tuwa ulize,nika mwambia watasema tulikuwa nazo kwa wanganga akakubal na akasema yaishe