Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,048
- 4,449
Niraha iliyoje kuwa na mtoto!
Unakuwa so proud wajamen!
Kuna furaha kubwa mno ambayo haielezeki!
When you look at him/her automatically wajikuta umetabasamu!
When you see your child is happy, happiness ya mwanao inajimultiply kwako.
Naongea kitu ambacho kama hukuwahi kuwa na mtoto you can't feel it
Hata mm kabla sijawa na mtoto nilikuwa na imiss hi furaha.
Kwa wale wenye watoto hivi nanyie mwajisikia kama mm....... au mm ni limbukeni wa mtoto?