Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mmi niko dar kwa sasa natafuta mchumba awe na umri kati ya miaka 18-23,kabila lolote na awe na rangi yeyote ila asiwe amejichubua.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta girlfriend/fiance Wanajamiiforum! mimi namtafuta girlfriend au Fiance ambaye tutaweza kupanga future yenye uhakika. Mimi nasoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! A leoprad can never change its spots even if it wishes to! I aint talkin about this issue like nafurahia or...
19 Reactions
111 Replies
11K Views
Habari wakuu poleni na majukumu ya week na wengine kama mm tunajipa pole kwa kukosa gazeti letu pendwa la mwanainchi na mtanzania poleni sana kwani leo nimenunua sani nasoma katuni za baba ubaya ...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Najua utani uliza nimejuaje Wakati mimi naishi ktk dunia ya leo, lakini jibu ni rahisi kabisa. Jiulize ushakaa na Bibi au Babu yako nakisha mukaanza kujadili mapenzi? yapi majibu ya Babu/ Bibi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
1.Girlfriend-a female partner in a romantic relation - a female friend 2. Boyfriend- a male partner in a a romantic relation...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Soma Tangazo mapacha wa kike wajitokeze Nitawaoa wote ila wasijekuwa Watatu Sitowaweza na kama kuna Mabinti wanaopendana Sana yaani mabest friends nao wajitokeze kwenye Interview kama watapita...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
kuzaa ni majaliwa ya mwenyezi Mungu,Ugumba ni tatizo linaloweza kutibika ama la,kuna ugumba mwingine wa kujitakia kwa wanawake kutoa mimba na kuleta matatizo ya uzazi. KINACHOSIKITISHA. Ni pale...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman leo natangaza rasm kwa vimwana walio na mtazamo wa kimaisha kuwa natafuta rafiki ambaye baadae anweza kuwa mke wangu kwa watakaokuwa tayar waccte wanaweza kujibu hapa au ukiona hapakufai...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Am a girl of 30 yrs, naomba mme awe mkristo, mcha mungu, umri kuanzia miaka 34 hadi 40, awe mkweli na mwaminifu. pls aliye interested tuwasiliane kwa e mail pmgissa@gmail.com ili tujuane
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna nyakati msichana anaweza kujijengea mazingira ya kuogopwa zaidi na wanaume kiasi cha wanaume wote wanaomujua kumuona kama kaa la moto yaani hagusiki na wanasitisha kumfata na wanaomtaka...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Nahitaji mke wa kuishi naye, awe ana kazi yake nzuri, awe na cheo kikubwa kazini kwake kuanzia Manager, Director wa kampuni au shirika yaani NGO au Civil Society, umri kuanzia miaka 30-40 na awe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jana katika maeneo ya ngarenaro - olmatejoo jijini Arusha imefungwa ndoa ya aina yake kwa njia ya simu. Bibi Harusi akiwa Arusha na Bwana Harusi akiwa Dar - es - salaam. Bibi Harusi amepelekwa...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Jaman mm ni mvulana mwenye umri wa miaka 22 nipo kidato cha sita. Namtafuta msichana ambaye anaweza kuwa girlfriend wangu mwenye umri kat ya miaka 19-22 kama yuko tayar naomba anindikie namba yake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenyu wana J.F. Jana katika pitapita yangu kwenye mtandao nikakuta kuna chuo kinaitwa ATLANTA INTERNATIONAL UNIVERSITY. (A.I.U) Basi kama mzaha nikajaza fomu ya kujiunga. kama email adress...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wadada na wanawake wanavipaji karibu wengi kuwa na uwezo wa kucheza na kudansi iwe kwenye sherehe za kawaida ama hata kwa club dance. Ni ngumu kupata majibu kuwa watoto wa kike wanajuaje...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Nimekaa nalo mda mrefu limenitesa, naomba nilitoe kwenu waungwana; Nilikuwa na rafiki (wa kike); tuliheshimiana sana, tulidumu kwenye urafiki kwa zaidi ya miaka miwili pasipo kuingiliwa na tamaa...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Kila msichana nikimtongoza ninakuwa na mahusiano mazuri mwanzoni,ila baada ya muda mfupi tunaingia ktk mgogoro.Hii imenitokea takriban kwa wasichana saba..! Nifanyaje ili niepuke tatizo hili.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
mapenzi mazuri,maisha mazuri kufa kubaya,naomba ushauri wenu ,ni nampenz wangu ambaye nilianza nae mapenz baada ya mimi kuhitimu kidato cha nne,yeye alikuwa amehitimu darasa la saba,alikuwa mdogo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alinunua kiwanja maeneo ya karibu hapa nilipo,alikaa miaka kadhaa baadae mwaka 2009 alianza kujenga nyumba yake na mpaka mwaka 2011 nyumba ikawa imefika kwenye LINTEL(lenta). KUMBE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom