Wanawake Hawa wawili kiboko na nimewaogopa...!!!!

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Posts
1,232
Reaction score
444
Imezoeleka kuwa wamama na wadada wengi hugombana wenyewe kwaajili ya mume / mwanaume. lakini Leo mpaka naandika kisa hiki Kuna jirani yangu (fundi) sio jina halisi alikuwa na small house bila mkewe kujua,
sasa small house ina mtoto na jamaa alikuwa kapunguza matunzo, kwahiyo mdada kabeba mtoto mpaka hapo nyumbani kwa fundi, kafika kamkuta mkewe fundi kajieleza yooote A to Z mkewe fundi kaita mjumbe bila fujo wala ugomvi kamjulisha ugeni na uamuzi aliouchukua ni kumzuia mgeni anamsubiri mumewe amfumanishe hapo hapo😕😕 hapo ndipo kisanga kilipo na fundi alikuwa anaheshimika mtu swala5 najiuliza nimsaidiaje hapo jirani yangu maana, watu wamejaa wanasubiri kitachojiri,, uswazi hakuna dogo?!! Lol
 
mwache akione cha moto,kwani wakati anachomeka singe alikuomba masaada?
 
Nani anaweza kuthibitisha kuwa huyo kweli ni nyumba ndogo ya Bwana fundi? nadhani kujieleza tu kwa huyo mama A-Z hakutoshi kumtia hatiani bwana Fundi. Hapo Busara itumike!
 
Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mihogo!

The guy deserve that shame!!!!!!!
 
Imezoeleka kuwa wamama na wadada wengi hugombana wenyewe kwaajili ya mume / mwanaume. lakini Leo mpaka naandika kisa hiki Kuna jirani yangu (fundi) sio jina halisi alikuwa na small house bila mkewe kujua,
sasa small house ina mtoto na jamaa alikuwa kapunguza matunzo, kwahiyo mdada kabeba mtoto mpaka hapo nyumbani kwa fundi, kafika kamkuta mkewe fundi kajieleza yooote A to Z mkewe fundi kaita mjumbe bila fujo wala ugomvi kamjulisha ugeni na uamuzi aliouchukua ni kumzuia mgeni anamsubiri mumewe amfumanishe hapo hapo😕😕 hapo ndipo kisanga kilipo na fundi alikuwa anaheshimika mtu swala5 najiuliza nimsaidiaje hapo jirani yangu maana, watu wamejaa wanasubiri kitachojiri,, uswazi hakuna dogo?!! Lol

swala tano si anaruhusiwa kuoa wake zaid ya mmoja?
 
swala tano ndo zinafunga na kufungua zipu au utashi wa mtu ndo unafunga na kufungua zipu,,,,,,,,unataka kutoa msaada we kama nani yake au ndo ulikuwa unatumwa kupeleka kilo ya nyama...........
 
Mmmh! Nyumba ndogo nyengine visiriba/visirani kweli!!!!
 
swala tano ndo zinafunga na kufungua zipu au utashi wa mtu ndo unafunga na kufungua zipu,,,,,,,,unataka kutoa msaada we kama nani yake au ndo ulikuwa unatumwa kupeleka kilo ya nyama...........

Nami nimewaza tuu kama nawezaaa kumsaidia jirani ukweli ni kwamba mshituko atakaoukuta nyumbani kwake nayeye alifanya Siri hata mkewe ni kama alikuwa haelewi elewei anajaza watu tuu...
 
Nani anaweza kuthibitisha kuwa huyo kweli ni nyumba ndogo ya Bwana fundi? nadhani kujieleza tu kwa huyo mama A-Z hakutoshi kumtia hatiani bwana Fundi. Hapo Busara itumike!

Sasa busara gani tunaweza msaidia bwana fundi kwa wakati huu maoni yako mkuu....
 
ulimshkia mguu nin mkuu.....nenda kawaambie alikosea njia, alitakiwa aje kwako.
 
Imezoeleka kuwa wamama na wadada wengi hugombana wenyewe kwaajili ya mume / mwanaume. lakini Leo mpaka naandika kisa hiki Kuna jirani yangu (fundi) sio jina halisi alikuwa na small house bila mkewe kujua,
sasa small house ina mtoto na jamaa alikuwa kapunguza matunzo, kwahiyo mdada kabeba mtoto mpaka hapo nyumbani kwa fundi, kafika kamkuta mkewe fundi kajieleza yooote A to Z mkewe fundi kaita mjumbe bila fujo wala ugomvi kamjulisha ugeni na uamuzi aliouchukua ni kumzuia mgeni anamsubiri mumewe amfumanishe hapo hapo😕😕 hapo ndipo kisanga kilipo na fundi alikuwa anaheshimika mtu swala5 najiuliza nimsaidiaje hapo jirani yangu maana, watu wamejaa wanasubiri kitachojiri,, uswazi hakuna dogo?!! Lol

Huyo mke wa Fundi nae anagongwa na mtu mwingine ndio sababu ameona bora amdhalilishe mme wake ili mambo yake yakae sawa. Wape muda tuu utauona ukweli huu mkuu!
 
Nani anaweza kuthibitisha kuwa huyo kweli ni nyumba ndogo ya Bwana fundi? nadhani kujieleza tu kwa huyo mama A-Z hakutoshi kumtia hatiani bwana Fundi. Hapo Busara itumike!

Kwanini asiende kwa m2 mwingine akaamua kwenda kwa fundi?
 
ulimshkia mguu nin mkuu.....nenda kawaambie alikosea njia, alitakiwa aje kwako.

Hahahaha unafanya maskhara wakati mwenzetu yatamkuta makubwa akifika hapa nyumbani hebu toa mawazo mjarabu.
 
Back
Top Bottom