Ni haki kupenda au kupendwa...
Ila ni karaha pale unapompenda mtu kwa moyo wako wote ila eti anaringa kisa anajiona ni mzuri na wakuwavutia wengi....
Koma..utavua au kuvuliwa pichu lakin...
Wakuu poleni na majukumu. Kwa wenye ufahamu juu ya familia za kinyiramba naombeni msaada kuhusu uoaji katika familia hizo. Kwani ni mahusiano ni binti wa kabila hilo hivo naahitaji msaada juu ya...
Frankly speaking,baadhi yetu wanaume hatupendi ile michoro mieusi inayonakishishiwa kwa ina kuchora maua mikononi na mpaka miguuni,natambua kwa wengine ni urembo lakini wengine hatuifurahii kabisa...
Imezoeleka kuwa wanawake ndiyo viumbe pekee wanaopata manyanyaso toka kwa wenza wao, jambo ambalo lilisababisha vita kali kuanza vita ya kumtoa mwanamke katika manyanyaso, ukatili, udhalilishaji...
Habarini wanajamvi, natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema kulitumia taifa.
Leo nimeonelea nijaribu kutafakari kidogo kwa nini uasherati au uzinzi au kufanya ngono kunatafsiriwa kama ni...
WA KUBWA SHIKHAMOO,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,Jamani naombeni ushauri ni fanya je? jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa...
Akifanya mahojiano kwenye kipindi kimoja cha Televisheni, Mwanamuziki Diamond Platnums aliulizwa, unafikiri ni sababu gani inayo wafanya wasichana wazuri kukupenda kupita...
Wana MMU huku nina hakika ndio kuna watu wa kisasa zaidi.
Nilitaka kujuwa ni zawadi gani not expensive not cheap ya kumzawadia binti ambaye amepiga nondo yake na kuwa awarded degree? Hapa I mean...
Heshima mbele wakuu.
Nina ndg yangu (Mdogo) wangu alioa kitambo sana, na toka aoe sijapata nafasi ya kuonana na shemeji. coz yeye anaishi hapa Dar na mimi ninaishi mkoani. na wana mtoto na mara...
kuna mwanamke nimempenda ni frsh from college amekuja juzi juzi tu ofc sasa ktk harakati mwanaume nikatupa ndoano,nikaambiwa nichague jambo moja kati ya haya Kuumizwa au Kudanganywa,alf kuna tetes...
nimeikuta somewhere nikakopy kama ilivyo
Wanaume ni walewale...Uongo wao ni Uleule..Style zao ni zilezile...Wanawake ni walewale...Wanaamini uongo uleule...Wanaingizwa kingi kwa mbinu...
Aina fulani ya unyanyasaji iliyojificha ambayo inajulikana kama breast ironing, ambapo wasichana wadogo kama miaka 10 wanayachoma maziwa yao
ANGALIA VIDEO YA WASICHANA WANAVYOCHOMWA MATITI...
JAMANI SIJUI PEPO AU TAMAA AMA UPENDO,mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa tukiwa kidato cha tatu nae tukahitimu ,akan sarit kwakuwa nilikuwa sikutulia eti alikuwa akini vumilia tu...
umemtolea mahari mpenzi wako,..mnaishi mikoa tofauti kwa bahati nzuri/mbaya.
Then unasikia na kuhakikisha alitoa MIMBA isiyo yakoko...
Kiumeni UNGEFANYAJE.?
Habari wana JF wote natumaini wote mnaendelea vizuri. Kwa wanaoumwa nawatakia mpone haraka. Wanaosafiri pia nawatakia safari njema. Leo ninaona hebu tuujadili huu uzi. Nimekuwa nikisikia watu...
Jamani nimefanya uchunguzi humu jukwaani, ukitaka ujue watu waoga fungua thread inayozungumzia maambukizi ya hiv kwa njia ngono! inaonekana wengi wao wapo kwenye tuko wangapi na hawajui afya...
wakuu,, nimekutana na hii habari mtandaoni ... Mama ajifungua CHURA...Yadaiwa kuwa mbegu za uzazi wa chura alizipata akioga katika bwawa lenye vyura - MPEKUZI
bado sijaamini kabisa kama hiki kitu...
Salaam wakuu,
as emotional as i can be, am writing this thread to en light others that 'umzaniae ndiye kumbe siye'. Kwa kifupi ni hivi, I Lucchese had a good friend of I since o level ambaye...
Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU.
Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.