Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Naomba msaada wenu wakubwa.
Baada ya mwanamke kujifungua, na ikiwa alijifungua bila complications zozote, anatakiwa kuchukua muda gani kabla ya kuanza tena kufurahia tendo la ndoa na mumewe au mpenzi wake? Nisaidieni naamini wadada humu mtakuwa mnajua hii kwa uzoefu zaidi.
Hata wababa mnaweza kutoa msaada kwa wanaojua hili