TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Mrembo huyu ni mjeda katika jeshi la Nigeria hapa alitii amri ya rais Godluck kwenda kulinda amani kwenye machafuko huko Kaskazini mwa Nigeria dhidi ya Boko Haram.
Sipati picha kama hawa jamaa wangekuwa Mabrigedia Katavi, The Boss, Asprin, Kaizer The Finest, Bigirita huyu mtoto angepata tabu sana wallah
Last edited by a moderator: