Mpenzi wako anakutumia sms hii...! Utamjibuje...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wako anakutumia sms hii...! Utamjibuje...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, Nov 29, 2010.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

  1. Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!
  2. Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!
  3. Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!
  4. Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  duuuh hapo unaweza kuzimia au kufariki kabisa,hiyo msg ni nzito sana inaweza kukupa presha ya milele
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Rip
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii.mama gaude wangu ndo aniandikie meseji ya hivi naweza zimia na kufa papo hapo
   
 5. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kumtumia mke wangu na hakuna aliyeweza kuongea nami hadi jioni yake, ambapo mke wangu alizinduka akiwa hospitalini na hivyo watu wakapata akili ya kunitafuta mimi tena....! Nilibaki na swali gumu kuwa je, alizimia kwa kushutushwa na hali niliyonayo au ni maswali yangu yamekuwa magumu kwake...!? Aidha, sipendi kuurudia tena, maana kumbe mtu anaweza akakutangulia wewe...!
   
 6. F

  Ferds JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ebwaneeeeeeeeeeeeeeee................................... hiyo ni kona kali sana lazima upunguze mwendo ndiyo ukunje la sivyo utapindua gari, namaanisha kuijibu sms inabidi uwe na akili timamu la sivyo utamuua wewe kabla ya Mungu kumchukua
   
 7. Mwendawazimu2

  Mwendawazimu2 Member

  #7
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majibu ya Mwendawazimu...
  1. Umenifanyia vitu vingi ambavyo sitavisahau, lakini kikubwa nimkunikumbuka wakati unakaribia kufa...
  2. Kibaya ulichowahi kufanya, ni kuficha ukweli juu ya afya yako, ahdi unafikia kufa ndo unaniambia...
  3. Neno la kuagana - Niombee huko uendako, nipate mwingine kama wewe...
  4. Sijawahi kukufanyia kisicho kizuri kwa makusudi...
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahah Komenti zenu zinanichekesha mwenzenu daaah haya mambo ya kuwaza kabla jambo halijatokea mungu apishe mbali:redfaces:
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwanini? Umemfanyia mambo ambayo bora usisamehewe kuliko ajue kabla hajaondoka?
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ulipata kumfanyia kwa bahati mbaya? Ni yapi....
   
 11. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Presha lazima ipande/ ishuke!!:pray:
   
 12. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Alizimia kuona majukumu mbele yake......
   
 13. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180

  yeah usirudie utasababisha maafa makubwa sana
   
 14. F

  Ferds JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  bwana kona kali ili ujue hapo nini kitatokea ukipoea sms hiyo, piga picha wakati unafanya mtihani final, umekugonga mda unakaribia kwisha ndiyo majibu yanakuja mengi kichwani kila moja unaliona lianfaa unabaki kuduwaa hujui uandike lipi umenipata hapo
   
 15. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.kuniambia unanipenda was the most beutiful thing that has ever happened in my life!
  2.kutaka kuruka ukuta..lol
  3.NAKUPENDA,nafasi yako hakuna atakayeiziba,uniombee na mie nikuombee mpaka tutakapoonana
  4.mtoto wetu yule wa mwisho sio wako,ni wa yule houseboy wetu..LOL:embarrassed::embarrassed::embarrassed::redfaces:
   
 16. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hakuna SMS ndefu namna hiyo, maana SMS ni maneno 160. So hamna Hoja hapo. Lingine???
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Ntamwambia HEBU ACHA UTANI!!!!
   
 18. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yes, I catch you....! Hivyo, ungependa kumjibu kila swali, tena kwa ufasaha, lakini unaona kama reply hiyo haitamkuta....! Lakini si ungeanza na la kusamehewa wewe kwanza? Yaani ungesema maovu uliyomfanyia, ambayo hayajui ili apate kukusamehe.....!
   
 19. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh....! Kweli hii kali, japo ungesamehewa kwa kusema ukweli....!
   
 20. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ndio wale usiku wanasema "tulale kidogo nitakupa baadaye" kumbe ametoka kupata chapchap muda mfupi uliopita....!
   
Loading...