Sehemu gani MURUA/SAHIHI kupata mchumba kati ya hizi?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
3. Kwenye daladala/safarini(kukutana kwenye chombo cha usafiri)
4. Kazini/maofisini
5. Kijijini kwenu
6. Disco
7. Kwenye msiba
7.....etc etc

Kati ya hizo na nyinginezo nyingi je ni wapi sahihi?
 
Kanisani, vyuoni na misibani.
 
Hakuna formula. Unaweza pata mchumba kanisani halafu ukajuta, na ukapata mchumba baa ukapenda. Lakini ukipata MCHUMBA kanisani halafu akawa amesimama katika imani na wewe umesimama ni vyema zaidi.
 
1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
3. Kwenye daladala/safarini(kukutana kwenye chombo cha usafiri)
4. Kazini/maofisini
5. Kijijini kwenu
6. Disco
7. Kwenye msiba
7.....etc etc

Kati ya hizo na nyinginezo nyingi je ni wapi sahihi?

No 7a
 
Back
Top Bottom