PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
REFERENCE : https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/520597-namsaidiaje.html
Habari za jioni wakuu,
Dah! nimerudi tena hapa jamvini kuomba ushauri nashukuru watu walinishauri sana mara iliyopita japokuwa kashfa nazo
zilikuwa nyingi sana ila ilibidi kuextract ushauri the hard way!
Wakuu nilijitahidi kuunda soln kwa kufuata baadhi ya shauri hasa ile ya kuongea na wife. Kiukweli siku moja baada ya dinner
home tulikuwa kwenye mood nzuri sana nikaona huo ndo wakati wa kumueleza nnavyojickia juu ya matendo yake. Nikafunguka begining last,
Mood ikachenchi ila ikabidi nivae sura ya kazi kwa hiyo ikabidi akubali kutokuongea na jamaa tena. Nikamalizia tu there will be trouble
akifanya otherwise.
Sasa siku moja Kuna mshkaji wangu fulani nilimuomba ushauri kuhusu insurance ya gari(Hatujazoeana kihivyo na last time tunakutana aliniambia
yeye ni meneja sehemu fulani in the field) akaniambia niende kufika kumbe ndipo pale pale tunapokatia ambapo ndo yule 'best friend' wa wife
alipo(Na idea yangu ilikuwa kupahama!). Kugeuza sikuweza ikabidi nikate tu! Sasa wakati tunastorisha na mshkaji wangu over lunch baada ya
kukamilisha zoezi akanipa stori kuwa yule jamaa(wife's best friend) anamchukua mama fulani ambaye ndo alimpigia mchongo wa ajira
hapo na ndo maana jamaa safari kibao. Nikamind kuwa jamaa kumbe muhuni ila kwa sababu tumekubaliana na wife nikawaachia mambo yao.
Kumbe still jamaa anamfuata wife job!!! Nilishtukia siku moja mwezi jana naumwa nikaenda kule na ckumtaarifu wife kwa sababu angeanza
kucomplicate na alisema yuko tyt, ha! jamaa akaja akaingia ofisini na akatoka ndani ya mda mfupi. Dah! nilimind balaa! Yani nikawaza
wife akifika tu home atabeba mabegi yake leo. Nikamcall mshkaji wangu akaanza kunibembeleza mpaka nikasema leo nachimba biti la mwisho.
Sasa home mi nafika tu namkuta wife hayuko kwenye mood nzuri, nikawaza cjui niahirishe mazungumzo? ILa tamaa ikanifanya nilianzishe.
Wife akawaka balaa kuwa namfuatilia too much, jamaa kweli alikuja na alimuambia hataki kuongea naye na akaondoka. Ila mimi niko selfish
cjui chochote naanza kuassume things.
Mi nikamuambia ningejua kama angeniambia. Nikakumbuka hicho kitu kuwa hajaniambia nikaanza kuwaka. Mwishowe safari huku akilia! Nikamuambia
tu aende kwao two weeks na akija hapa she'll have to tell me everything kuhusu yeye na jamaa na asipokuja in one week tutaongelea mengine tena.
Kwa hiyo nikaanza maisha ya ubachelor tena, housegirl akija anafanya uasafi anapika anaondoka(Alihamia kwa jirani na huja wakati sipo, kwa order
za wife).
Sasa huko ukweni nackia baba mkwe alimind sana! kwanza bintiye aliingia akilia na yeye alikuwa na wageni wa heshima. Yani he even
thought kuwa tupeane talaka ndo atampokea home ila ma mkwe akambembeleza. Tukawa hatuwasiliani na wife na nikaamua kuiverst kwenye
kumchunguza jamaa. Sasa kumbe huyo mmama ambaye jamaa anatembea naye mumewe ni rafiki mkubwa sana wa baba yake na pia baba yake na wife.
Yani hata wakati wife anaingia kwao alipotoka huku alikuwepo huyo mzee na huyo mkewe na wazazi ya yule best friend wa wife pia.
Nikachunguza zaidi lakini sikupata stori za maana niaachana nao na kundelea na ubachela.
After one week niko zangu mahali na washakji wife akanipigia, akanza kumind issue ndogo za home kama za mimi kutokula cku nyingine, mwishowe
akaniambia yuko tayari kurudi home nikamuuliza anipe stori ya huyo best friend wake na yeye akasema ni personal na hazimuhusu hata yeye pia.
Nikamwambia wewe endelea kukaa huko maana huko ready nikakata simu. Akipiga sipokei.
Nilipogundua nisipokula home anamind basi ndo nikaacha kula home moja kwa moja na tunakaa na washkaji hadi saa5 ndo naenda kulala. Akawa
anapiga simu kila siku akilia akitaka kurudi, mi namwambia mda bado na hata ukifika vigezo visipofikiwa ndo hivyo tena. Wiki iliyopita kanifuata
job jioni moja akaniambia atasema everything ila nisikasirike...Nikashtuka vibaya mno ila ndo vile muda wa kuface the truth ukifika ndo umefika.
Tukaenda dinner.
This is their story sasa: Jamaa na wife walikuwa close sana toka udogoni, walipoanza kukua wakaahidiana kuoana baadaye ila wife akaweka
condition kuwa hawatafanya chochote hata kukaribiana mpaka waoane. Kwa kuwa walisoma mbalimbali maisha yakaenda. Walipomaliza form6 jamaa
akaanza kumsumbua wafanye wife akawa hataki. Basi anachosema baada ya mda jamaa akawa hamsumbui na ukaribu ukapungua. Wife akawa anambembeleza
na kumuuliza mbona kawa hivyo jamaa akasema ndo anasubiri waoane. siku moja kukawa na sherehe ya kama family friends kwa yule mmama ndo siku hiyo
jamaa akaanzisha uhusiano na huyo mmama. Wife akaja kushtukia akavunja uhusiano wao ila jamaa akamwambia uhusiano wenyewe si issue hauna mashiko.
Jamaa akawa na huyo mama. Basi wife akawa anambembeleza jamaa mpaka akamwahidi kumtimizia anachotaka ila amwache huyo mama. Siku ya miadi mama
akampeleka jamaa mbali na wife akasubiri sana jamaa hakutokea. Alivyogundua mchezo akaenda kwa wazazi wa jamaa kwa hasira kamsemea. Ukawaka moto balaa.
Yani ikabidi baba yake afight ili jamaa akasome chuo nje ili kuua soo. Basi jamaa na wife wakapatana tena baada ya jamaa kujuta.
Wife akamwambia usiende kusoma nje tuoane now, jamaa akasema haya. In two weeks jamaa huyo kaenda zake Uganda kwa ndugu zao anasubiri chuo kianze!
Akakata mawasiliano na wife kabisa. Basi wife akawa frustrated. Siku moja nilikuwa namsubiri mshkaji wangu wa chuo(nilikuwa chuo wakati huo) kwenye benchi
jirani palikuwa na salon ya kike na wife akaja na rafikize. Nilimuona yeye coz alikuwa katulia zake wakati wenzie wanaongea too much, wakawa wamesimama
hapo wanasubiri huduma, walivyoingia ndani akadondosha atm card yake nikamwita jina akaja kuichukua ndo mazoea hadi leo.
(Jamaa alikuwa amefly kwenda kwenya cku hiyo hiyo).
Nikamuuliza siku zile nakuuliza ulikuwa unalilia nn ilikuwa ni nini. Kumbe jamaa ameoa na bado karudi kwa yule mama na mke wa jamaa anadhani jamaa natembea
na wife na jamaa anambembeleza wife asiseme iwe siri yake! na hakutaka kuniambia kwa sababu ningemforce aseme.
Basi tukapiga stori zote za kimisiana akarudi kwao maana muda umeenda na wazazi wake ni watu wa sheria wasingeridhia kikao hiki since ameshawatia aibu.
Sasa wakuu najua kwamba atarudi ila nawaza,
Uhusiano wetu haukuwa rebound relationship? Amejitetea kuhusu ni kwa nini asiseme but katika ndoa can u still have secrets? Naombeni ushauri kama kuna vigezo
ambavyo sijazingatia katika hili suala please! Coz ndo anarudi hivyo
NB: Samahani kwa stori ndefu