Latifaa
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 501
- 259
Kuna wanaume hawajui kupenda ni wasumbufu sana kwa wapenzi wao wakike, akishagundua unampenda hutacha kuona rangi za dunia hii, wapo tena wapo wengi sana.
Ni ujinga mkubwa kuwa na mpenzi anayekusumbua unatakiwa uwe na mpenzi wakuifurahisha roho yako sio wakukurusha roho, hawezi atembe mbelee.
Ni ujinga mkubwa kuwa na mpenzi anayekusumbua unatakiwa uwe na mpenzi wakuifurahisha roho yako sio wakukurusha roho, hawezi atembe mbelee.