Wanawake wa aina hii mh

Wanawake wa aina hii mh

Lyambasa

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
153
Reaction score
43
Rafiki yangu alipata shida kubwa baada ya kushindwa kumsaidia mkewe ambaye alikuwa na matatizo yafuatayo;
1Kumpeleka mumewe kwenye mabaraza ya mara kwa mara kila wanapokosana.
2.Kuchukia kila mtu mwenye jinsia ya kike.Jamaa amechoka akapiga chini.Hii inasababishwa na nini?
 
Huyo mwanamke anahitaji councelling naona yupo psycologically affected!
 
Wewe ukiwa kama Mchungaji ulimsaidiaje?
 
ndio wacha amuache we kila wanapokosana lazima yafike kwenye mabaraza ya usuluhishi.... kwan amesikia ndoa maajukwaa ya jf nini yeyote ana-komment
 
^^
Hakufunzwa kujitegemea kihisia..na haya ni matokeo ya malezi ya wazazi kuwatatulia watoto wao shida ndogo ndogo zinazohitaji maamuzi yao tangu miaka 4-15
^^
 
Back
Top Bottom