UTANI mwingine kwenye mapenzi...mhhhh

UTANI mwingine kwenye mapenzi...mhhhh

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
Du...tangu asubuhi sikuwepo...mefika tu...nakuta JEZI ya yanga....nkawa mpole sikujua kama ni shabi...baada ya muda kutazama vya ndani vyote ni YANGA (NJANO)...mie nko kwenye black/white... hata kuomba tunda meshindwa..coz mi mpinzani

...KESHo liwalo na liwe...nakaa kimyaaa mwekundu akishindaaaaaaaaaaa...navaa vyekundu...naomba tunda...ntakesha na my appple nadhani kesho kutwa hatoenda ofisini

ni vyema kuambizana mapemea ili kufanya kila mmoja awe na furahaaaaa, nkifungwa nae anitundike 4 bilaaa and vise verse
 
you guy, you are funny..
 
Sasa wife akifungwa akikuomba utatoa?
 
Back
Top Bottom