Mh. Kova BANGI inavutwa hadharani... Jamamani why??

Mh. Kova BANGI inavutwa hadharani... Jamamani why??

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,942
Reaction score
23,893
..kila siku nabadili viwanja niwe free na hii harufu ya BHAANGH., inavutwa hadharani huku ndugu zangu.,

kova nakwambia sasa kila mwya bia kashavuta na BANGI bila kujielewa... Tufanyeje sasa.

Mods naombeni MSITOE HUU UZI HADI KOVA ASOME.... najua hapa si mahala pake,.but its most visited..

TOO MUCH.,..
 
nlishakuambiaga hao vijana hapo nyuma watakuharibu tu!! Unaona sasa ubishi wako?wameshakuharibu tayari! Sasa sijui ni bangi tu?ama wamekupa na kitu ingine!! Maskini kijana wa watu!
 
nlishakuambiaga hao vijana hapo nyuma watakuharibu tu!! Unaona sasa ubishi wako?wameshakuharibu tayari! Sasa sijui ni bangi tu?ama wamekupa na kitu ingine!! Maskini kijana wa watu!

kama umeniona... Wanaipuliza FREELY...
 
Taja viwanja vya wavuta bangi, hata watu wengne wanaweza kusaidia si Kova peke yake.
 
Ni waaapi na mida gani????!!!!

Au ndio ushalanduka???!!!
 
Taja viwanja vya wavuta bangi, hata watu wengne wanaweza kusaidia si Kova peke yake.

local pubs zote USWAHILINI(hata za KISHUA ,, only that ur restricted)....
tembeeni acheni kusubiri matukio.
 
local pubs zote USWAHILINI(hata za KISHUA ,, only that ur restricted)....
tembeeni acheni kusubiri matukio.

Then piga kimya tu maana akitembea na kukutana nao atachukua hatua
 
local pubs zote USWAHILINI(hata za KISHUA ,, only that ur restricted)....
tembeeni acheni kusubiri matukio.

Local pub zote na za kishua? Mbona sijawah kukutana nao? Me nakumbuka tegeta tu kuna bar ilikwa inaitwa appolo/mungiki ndo kulikuwa na hizo mambo ila saiv hakuna.

Sasa hzo nyingne ndo zip mkuu?
 
mbona hata kova ni mdau au humuoni usoni no i mean his eyez.pepo hawezi mtoa pepo mwenzake by yesu wa nazareti
 
kila mtu na starehe yake ................mbona viwanja kibao vina machoko ila si hatulalamiki japo tunachukizwa ..tunajua ndo stareh zao na ndo wamezifuata
 
hiyo inaitwa sigara -----,kijiti,ganja,majani,cha arusha,kaya,msuba,kuku,veve yaani ni kileo chenye majina mengi kuliko kileo chochote duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom