Hii ndo Dar es salaam.....

Hii ndo Dar es salaam.....

Iamabdul

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
72
Reaction score
27
1:Baada ya kulima sana na mavuno niliyoyapata tofauti na kazi nilyoifanya hapo ndo likanijia wazo la kwanda mjini kutafuta kibarua chochote. 2:Nilivyofika ubungo sikujua wapi nitaanzia na wapi nitakwenda kutokana na ugeni wa jiji la dar es salaam, na ktk tembea ya hapahapa na pale na kushangashangaa kwangu nikagongwa na gari na kusababisha mguu wangu wa kulia kuvunjika na kusababisha nitembee kwa kuchechemea. 3:mama aliyenigonga na gari alinisaidia matibabu mpaka pale nilipopona na aliamua nikaishi kwake kwani nilimueleza kwamba hapa mjini ni mgeni na sina ndugu yeyote na nilikuja kwa lengo la kutafuta kazi. 4:niliishi vizuri sana na yule mama nyumbani kwake na nilikuwa kama mtumishi wake na pia alinifanya kama mwanae na alinipatia fedha na kila ambacho nilikuwa nakihitaji. 5:yule mama alinipeleka gym kwa lengo la kujenga mwili na baada ya miezi kadhaa mwili wangu ulitanuka na nikawa nivutie mno machoni mwa watu hasa wasichana wengia ambao nilikuwa na kutana nao. 6:Tatizo lilianza pale siku ambayo nilikuwa nakoga bafuni baada ya kumaliza kazi zangu zote za pale nyumbani,wakati naendelea kukoga yule mama aliingia bafuni kwangu akiwa uchi wa mnyama na alinilazimisha tukoge wote,nilistaajabu sana kwani sikutegemea yule mama angelifanya kitendo kile hata siku moja. 8:yule mama alikuwa ni mmama mwenye shepu nzuri sanamwenye kiuno chembamba kiasi kilichopambwa na cheni ya dhahabu na ikifuatiwa na umbo maridadi hivyo hata mimi nikashindwa kuvumilia nikajikuta namvuta karibu yangu nakuanza kuoga pamoja huku tukicheza michezo ya hapa na pale kule bafuni.na tangu siku hiyo ndo ukawa mwanzo wa uhusiano wa kimapenzi baina yangu na huyu mama na maisha yangu kwa kiasi kikubwa yakaanza kubadilika. 9:siku moja alinambia kuwa kuna wageni wake anaenda kuwapokea ambao wametokea Uingereza,wageni hao ni mabinti zake ambao alizaa na mume wake ambaye alishafariki miaka kadhaa ilyopita ambao walikuwa wanasoma huko. 9:baada ya masaa kadhaa ndipo aliporudi na wageni hao ambao walikuwa warembo mno na wenye maumbo kama ya mama yao, mama huyo alinitambulisha wanae ambao mkubwa alikuwa anaitwa Juddy na mdogo anitwa Jullieth ambae huyu mdogo alikuwa ni mrembo kwelikweli kuliko yule dada ake, kiukweli nilichanganyikiwa sana kwa huyu jullieth. 10:baada ya hapo ndo ikawa mwanzo wa matatizo makubwa zaidi na zaidi mpaka nikaona mji mchungu.....Itaendelea.................
 
sasa hiyo ni hadithi au?mbona kuna namba humo jamani mmmmh bado natafakari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom