There was once a time when men used to be real men. When they dressed with style, when they had a certain honor code they followed that involved treating not only their elders and each other with...
Habari wadau wote jukwani:
Hivi Madada zetu wanapenda nn haswa!
Unapomtongoza ukiwa huna kitu tegemea mambo mawili:
Akukatae kigezo sio type yake ama akikukubali jua nilizima utashare na mtu...
Kuna baadhi ya watu wa mujini waliobahatika kumiliki au kupanga nyumba yenye vyumba zaidi ya kimoja wanapenda sana kuwa na luninga kwenye chumba cha kulala aka kile chumba chenye nanii ya sita kwa...
Kuna binti furani nilikutanae miezi miwili iliyopita ni nilimpenda sana na tukapeana ahadi nying. Chakushangaz Juzi kaniomba sh 20,000/= Nikamwambia kwa sasa hyo pesa sina mmmh kumwambia hivyo tu...
girls, picha hapo juu yajieleza! ningependa kupata mdada mrembo from jf, awe mrefu, mnene kiasi, mpenda mazoezi na asiwe na kitumbo cha chipsi!
niko tayari kuanza mahusiano ya kimapenzi na yeye...
Mpenzi uliyekuwa naye jana ana determination kubwa sana kwa Siku yako inayofuata
Tumeshawahi kuona Siku zetu zikianza na misiba, ajali, kutapeliwa nk nk.ikitokea hivyo watu husema angalia...
WanaJf
majanga yamenikuta nina wiki ya 2 sasa, yaani ninahamu isiyoisha ya tendo la ndoa. Hadi nahisi aibu maana muda wote nanilii yangu imesimama tu na hata nikimkamataje mwanamke hamu haiishi...
Wadau nimelazimika kuuliza hili swala kwasababu ni zaidi ya mara tatu nakutana na Wazanzibar wasiofahamiana ila wanafanana majina tena majina matatu, nina rafiki yangu wa Mtandaoni yeye yupo...
wale wamasai wanaouza dawa za kimasai hawapangi nyumba na wala si wateja wa gesti house linapokuja swala la kuhondomola,huwa mara nyingi wanalala eneo moja nje tu(sehemu yao ya kulala,ukiona masai...
WANAUME
Ulimwengu huu ukifanikiwa kupata Msichana anayesema 'I love you too' huku ameimaanisha halafu hakuombi hela hata kidogo shukuru Mungu halafu anza kutafuta hela ya Mahari!
Wanawake...
Jamani wanawake sio majamvi ya wageni. Hiki ni kilio cha wanawake wote duniani. Hebu ona mfano huu: Ni kwamba leo unatongozwa na Mentor unagundua ana vimada kibao nje unaachana nae. Mwezi unaofata...
:::::salutation:::::
Kwanza kabisa nitangulize ombi la MSAMAHA...
Wana MMU,kwa heshima yenu najishusha chini ya miguu yenu,kwa roho ya ukunjufu kuomba msamaha....
Ni busara wala si upumbavu...
Ndicho kilichompata Ufoo Saro na mpenzi wake marehemu Mushi. Uliza mchaga aliye karibu nawe atakupa details. Imagine marehemu Mushi hadi anajiua juzi alikuwa tayari na umri wa miaka 40, bado...
hili limewakuta wengi kwenye ndoa wakijikuta kuolewa au kuwaowa watu ambao hawakuwa machaguo yao eiza yule aliyekuwa anampenda kwa dhati toka moyoni alimsaliti au alimfanyia kitu kibaya lakini...
huu si uungwana!! kwa mwanaume aliyeoa au hata kama hujaoa, kitendo cha kumtaka housegirl bila ridhaa yake si uungwana kabisa. mwisho wake ninyi ndio mnawapa ujauzito halafu mnawaziba midomo ili...
Ee bwana I like them nice, smart, soft and smooth. Yummy!!!
I like them chocolate to dark in complexion but bald. Oh yeah. Bald and smooth. Not prickly.Yaani I dont wanna be distracted by hair...
Hii imetokea sasa hivi,jirani yangu amekuja kunigongea na kuniomba ushauri wa kitu ambacho nimestaajabu sana,,,
Kwa kifupi mke wa jirani na rafiki yangu amemfumania mfanyakazi wa ndani akiwa...
Kiukweli wale wadada wa saluni za kiume ambao ukimaliza kushevu wanaacha kukupetipeti kwa mikono yao laini mi huwa wananidatisha sana. Kuna mmoja wa pale Sinza Mugabe ndo usiseme yani, yali yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.