Wapendwa woote, mababu kwa wazee, vikongwe kwa vikungwi, watukutu kwa watiifu, bila kusahau sharobalo ambao wamejaa sana humu sikuizi
Haya maisha ya kawaida yamezungukwa na kingo (limitations)...
Wana JF naomba tushauriane katika ili. Unakuta mwanaume ana familia mke na watoto wanahitaji matunzo kutoka kwa baba wa familia. Jambo la kushangaza kila ukipita kwenye kona za mjini kwenye...
Kwa nini wanawake wengi waimba taarabu wana miili mikubwa(wanene) na wengi wao pia wana matit makubwa kweli,sasa sielewi ama kama kuna uhusiano kati ya muonekano huu na muziki wa taarabu ama ni...
Tumezoea kusema huyu dada Ana pepo wa ngono! It's called persistent sexual arousal syndrome, mwanamke anakuwa na hamu ya kufanya ngono wakati wowote Hali hiyo inapomtokea na inawezekana kutokea...
Mke mwema hutoka kwa Mungu
Lakini Mume mwema na bora hutoka nmb, crdb, nbc, tra , bot, saccos, m-pesa. tigo pesa, airtel money na kwingine kunakohusiana na pesa pesa.
Wanaume tujitahidi kufanya...
Hii imekuwa tabia au silaha kubwa wanayoitumia wanawake walioko kwenye mahusiano na wanaume,yaani mkizinguana tu kidogo ujue unyumba hupati hata kama yeye ndiye mwenye kosa unajikuta mwanaume...
Ili mwanaume uwe. Na raha katika mahusiano, hakikisha kama wewe ni wa laki msake mpenzi wa elfu hamsini, kama wewe ni wa milioni saka mpenzi wa laki tano, kama wewe ni wa elfu kumi saka wa elfu...
Msichana mdogo ameungua vibaya
baada ya rafiki yake wa kiume
aliyevunja naye uchumba kudaiwa
kumtega walipokutana,
kumlazimisha kunya tindikali na
kumsukumia kwenye bahari.
Ripoti nchini...
wana MMU,
wadada wa mujini wanapendeza mno!
sijui huu mtindo unakuta mtu mko barabarani anageuka nyuma kumwangalia mrembo fulani kama utaisha!!!!
leo nimeshuhudia jamaa mmoja akigongwa na...
Ukitaka majungu OA MHAYA. Ukitaka Mapenzi ya ujanja ujanja OA MCHAGA. Ukitaka Uchawi OA MFIPA. Ukitaka maneno OA MZENJI. Ukitaka mapishi OA MTANGA. Ukitaka Uume wenza OA MZARAMO. Ukiwa na shamba...
habari wana mmu!
nimekutana na tatizo fulani kutoka kwa rafiki yangu, yeye ni kijana wa kiume, ana miaka 23. Tatizo alilonalo ni kwamba, mpaka umri tajwa hapo juu alionao, hajawahi kuwa na...
wadau cjui tu watu wengine wakoje,jana katika mizunguko yangu ya kawaida nikadandia daladala maeneo ya stesheni kwenda gongo la mboto,baada ya kufika mnazi mmoja kuna mdada akahama kwenye siti...
Ufoo amehojiwa na Rai la leo na kasema alipopigwa shaba akajikokota hadi barabarani na kumkuta m/ke yupo kwenye gari.alipo muomba msaada apelekwe Tumbi, akakataa.
Hv why wanawake wengne wanakuwa...
utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha...
KATIKA LILE SHINDANO LA KUMSAKA KIJANA HANDSON WA JIJI LADAR washiriki walijitokeza 20 na 6 tu ndio Kwahiyo basi tarehe 16/10/2013 pale pale Club Bilicanas tutafanya audition ingine kwaajili...
Love is beautiful, unfortunately there is no trust
Blame no others, hold yourself responsible first
Whether you like it or not, sacrifice is a must
At one time you will have to face the test
Joy...
Umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa...
Najua wanaume wenzangu mtanichukia lakini nataka kujua ni sababu zipi zinapelekea mwanaume kuwa mzushi,muongo,mnafiki,mchonganishi aka mmbeya.Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni homemate,tumesoma...
Habari Zenu Wana-MMU,..
Mwenzenu leo yamenikuta juu ya huyu mpenzi wangu,..
Baada ya mpenzi wangu kurejea nyumbani kutoka katika pilikapilika za siku akanikuta nimejipumzisha kwenye sofa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.