Jamani wana JF naomba mnisaidie kwani mwaka wa 10 sasa sina hamu na watu wa jinsia nyingine (wanawake). Niliachana nao rasmi tangia muda huo kwani kila nikiwavutia room nakosa kabisa hata hamu ya...
Dear Dadaz!
These are tips for you to keep a
healthy vagina.
1. Keep healthy and clean. Practise
personal hygiene.
2. Reduce your intake of sugar. Sugar
promotes the growth of some...
Juzi nilikua sehemu nimejibanza nawasikiliza wadada 2 wakiongea...
Wa 1 alikuwa akilalamika kuwa hatopanda tena bodaboda kwa sababu aliwahi kuangushwa na huwa
wanaendesha kwa speed sana..
Dada...
Kama kawaida yangu, leo nimejiunga rasm na watanzania wezangu katika mtandao huu wa kijamii, nimekwisha kuyasema YA MOYONI MWANGU katika jukwaa la siasa na sasa nataka nikukumbushe haya machache...
Sijui hii imekaaje lakini inaniwia vigumu sana kwenda kumtembelea dada yangu aliyeolewa,kwa hofu ya kwamba naweza kufika nyumbani kwake ndio nikakuta anapewa talaka au anagombana na mumewe na...
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.
Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina...
wana MMU,
mwenzenu nimekumbwa na maswahibu katika mishe mishe zangu mitaa fulani hapa dsm! mwenzenu jana nilikuwa na mzuka sana wa kupata kitimoto! basi kwa vile maeneo yale niliyokuwa nilikuwa...
raha ya binadamu ni moja tu, huwa tunajifunza kutokana na makosa, yawe yako mwenyewe au ya wenzako. sasa kwa muda mrefu nimegundua asilimia kubwa wanawake wanakadalili kautapeli flani hivi, wakiwa...
Hizi ni Tips ambazo ni common sana,but they sound very true in Life especially wale Freshers ktk Tasnia hii pana ya Mapenzi. Hizi hapa ;
1. Sex is NOT love. Love is not sex.
2. You can...
siyo mvulana anakusemesha kidogo tu unakimbilia"nioe".kwani unafikiri kuolewa ndo kila kitu duniani?kwani lazima boyfriend wako akuoe?kwanini usimchukulie kama friend tu?mwenzio siwaelewi.mia
Mme wangu alikuwa safari ya kiutafutaji mkoa
Mida ya saa 4.30 jana ijumaa tar 18/10/2013 nilijisikia uvivu wa kupika kwa sababu nilichelewa kurudi kazini pili nipo peke yangu,Hivyo nikaona sio...
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia...
Baada ya kutoa taarifa ya anna kwenye tv,mtandaoni na kwngneko,ikabidi nkaangalie ethics za journalism. Ni kosa kumuonesha mtu aliyenyanyaswa kijinsia live. Inabidi umzbe uso. Wewe umemuonesha...
Wanakumbi.
Tusichelewe kurudi majumbani kwetu zaidi ya hapo tutajitafutia matatizo makubwa nadhani picha hii hapo chini inajieleeza yenyewe, chaguwa wewe muda gani mwafaka kurudi nyumbani kwako.
Huku nikujitetea au kujichomesha?
Mama mwenye nyumba anamlalamikia housegirl wake kwamba haoni underwear zake tatu.
Sikia utetezi wa housegirl sasa:
"
SIJACHUKUA HAKI YA MUNGU SIJACHUKUA MUULIZE...
Kwanza kabisa binafsi nashindwa kuelewa, mwanzo nilipenda sana kuwa na uhusiano na mwanamke mwenye umbo dogo.ilitokea hata kutumia muda mwingi sana kumtafuta binti mmoja mwenye sifa ambazo mimi...
watu wanafikiri msichana/mwanamke wa JF ni mzuri sana,watu wanafikiri msichana wa fb ni mzuri sana,ukikutana nae unatamani kumkimbia,ulifikir ni mzuri kumbe ni mbaya,unafikiri msichana kumbe mtu...
Sexy Maid Seduce Boss. - YouTube
wanawake muwe makini na waume zenu!!!! sio mnaajiri wadada wa kazi viiiisu halafu mnategemea nini!!!
halafu ndio unakuta mke ndo kwanza kasafirishwa miezi sita...
Nimekuwa nasikia kwa wanandoa wanaoheshimiana na kuthamini familia zao Mungu huwa anawabariki na wanapata mafanikio tofauti na wale wasioheshimiana na kupendana
Walio peke yao (single) mafanikia...
Habari zenyu? Ukiwaona barabarani wanaonekana wana mvuto wa mapenzi, lakini mbona kwenye 6 kwa 6 ni matatizo? hawajitingishi kabisa. halafu wanakuwaga na mambo mengi, simu kila dakika, message...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.