Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
Ili mwanaume uwe. Na raha katika mahusiano, hakikisha kama wewe ni wa laki msake mpenzi wa elfu hamsini, kama wewe ni wa milioni saka mpenzi wa laki tano, kama wewe ni wa elfu kumi saka wa elfu tano, kama wewe I wa elfu msake wa mia tano, ila kama unajikweza utakufa kidedea! Maana kama wewe ni wa laki demu wa milioni wa nini au mnataka usiku watu wamelala wewe kuku anakunyea kichwani kwako! halafu demu wako umempa prado na mama yake vitz? mjipange