My ex? Go home,you are drunk!!!

My ex? Go home,you are drunk!!!

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
3,391
Reaction score
1,546
wadau cjui tu watu wengine wakoje,jana katika mizunguko yangu ya kawaida nikadandia daladala maeneo ya stesheni kwenda gongo la mboto,baada ya kufika mnazi mmoja kuna mdada akahama kwenye siti aliyokuwa amekaa(ilikuwa nyuma ya pale nilipokaa) akahamia kwenye siti yangu.lahaullah!!

Kumtizama vizuri ni ex wangu,tulikuwa wote arusha miaka sita au saba kasoro hivi kama sio nane.baada ya kusalimiana na kupiga stori za hapa na pale kuhusu maisha bidada akaanza kufunguka.eti bado ananipenda sana na hajui nini kilitokea tukaachana.akasema amekuwa akinikumbuka sana na alikuwa akiombea iko siku tukutane na tuendelee na maisha yetu.eti upendo wake kwangu hauta kaa ufutike hata kidogo katika moyo wake...nilimuangalia usoni hata sikuamini kuwa ni yeye ndiye anayeongea maneno yale tena mbele za watu kwenye daladala,nikakumbuka jinsi tulivyoachana,

TULIKUWA TUMESIMAMA MAENEO YA KIMAHAMA BOOKSHOP PALE MJINI,MARA AKATOKEA JAMAA MMOJA AMBAYE TULIKUWA TUKIFAHAMIANA TU NA NILIMCHUKULIA KAMA BRAZA,JAMAA AKATOKEZEA NA KI VITARA CHA BABA YAKE,SIKUAMINI MARA SOPHY AKASIMAMA GHAFLA NA KUMFUATA,WAKAKUMBATIANA NA KUKISIANA MDOMONI,JAMAA AKAMFUNGULIA SOPHY MLANGO,WAKAINGIA GARINI NA KUTOKOMEA.BAADA YA SIKU KAMA MBILI HIVI NIKAKUTANA NA YULE JAMAA,ETI AKAWA ANANIOMBA SAMAHANI KWANI DEM NDIYE ALIYEMTAKA MWENYEWE.HIYO SIKU NDIYO UHUSIANO WANGU NA SOPHY ULIISHIA HAPO.

eti leo sophy anasema ana upendo wa dhati kwangu,kweli niliona muujiza.ilibidi nishuke ndani ya gari maeneo ya majumba sita kwani alianza kulazimisha mabo ambayo hata kimsingi hayapo,mara anataka namba ya simu,mara anataka akapafahamu kwangu,mara nitapata lini muda ili tuwe na mazungumzo serious.nilimwambia sophy kuwa mi sioni kama akili yake iko sawa,na siko tayari kwa lolote katika chochote anachokihitaji.

wadu cjui tu watu wengine na haya wanawake aina ya huyu ex wangu huwa wanafikiria nini
 
Pole sana mkuu unajua watu wengine hujua umuhimu watu pale anapokua hayupo, nafkiri hicho ndio kinachmsumbua dada yetu Sophy kwa sasa, kwhyo you take it slow and dont take as adavantage
 
dah mkuu we acha tu,nilimuona kama ghost vile,kwani siku hiyo alipobebwa iliniumaje,nilikuwa naishi kitaa kimoja kinaitwa kwa ngulelo,siku hiyo sikupanda daladala,nilitembea taratibu sana huku kichwa kikiwa moto na nilikuwa nikiongea mwenyewe,nikikumbuka hiyo hali iliyonipata halafu leo eti anasema ananipenda,cjui nisemeje tu mkuu
 
No turning back mkuu ndivyo walivyo mara nyingi hutupa jongoo na mti wake,wakishatendwa ndio hukumbuka kwenye uhalisia!well done
 
wadau cjui tu watu wengine wakoje,jana katika mizunguko yangu ya kawaida nikadandia daladala maeneo ya stesheni kwenda gongo la mboto,baada ya kufika mnazi mmoja kuna mdada akahama kwenye siti aliyokuwa amekaa(ilikuwa nyuma ya pale nilipokaa) akahamia kwenye siti yangu.lahaullah!!

Kumtizama vizuri ni ex wangu,tulikuwa wote arusha miaka sita au saba kasoro hivi kama sio nane.baada ya kusalimiana na kupiga stori za hapa na pale kuhusu maisha bidada akaanza kufunguka.eti bado ananipenda sana na hajui nini kilitokea tukaachana.akasema amekuwa akinikumbuka sana na alikuwa akiombea iko siku tukutane na tuendelee na maisha yetu.eti upendo wake kwangu hauta kaa ufutike hata kidogo katika moyo wake...nilimuangalia usoni hata sikuamini kuwa ni yeye ndiye anayeongea maneno yale tena mbele za watu kwenye daladala,nikakumbuka jinsi tulivyoachana,

TULIKUWA TUMESIMAMA MAENEO YA KIMAHAMA BOOKSHOP PALE MJINI,MARA AKATOKEA JAMAA MMOJA AMBAYE TULIKUWA TUKIFAHAMIANA TU NA NILIMCHUKULIA KAMA BRAZA,JAMAA AKATOKEZEA NA KI VITARA CHA BABA YAKE,SIKUAMINI MARA SOPHY AKASIMAMA GHAFLA NA KUMFUATA,WAKAKUMBATIANA NA KUKISIANA MDOMONI,JAMAA AKAMFUNGULIA SOPHY MLANGO,WAKAINGIA GARINI NA KUTOKOMEA.BAADA YA SIKU KAMA MBILI HIVI NIKAKUTANA NA YULE JAMAA,ETI AKAWA ANANIOMBA SAMAHANI KWANI DEM NDIYE ALIYEMTAKA MWENYEWE.HIYO SIKU NDIYO UHUSIANO WANGU NA SOPHY ULIISHIA HAPO.

eti leo sophy anasema ana upendo wa dhati kwangu,kweli niliona muujiza.ilibidi nishuke ndani ya gari maeneo ya majumba sita kwani alianza kulazimisha mabo ambayo hata kimsingi hayapo,mara anataka namba ya simu,mara anataka akapafahamu kwangu,mara nitapata lini muda ili tuwe na mazungumzo serious.nilimwambia sophy kuwa mi sioni kama akili yake iko sawa,na siko tayari kwa lolote katika chochote anachokihitaji.

wadu cjui tu watu wengine na haya wanawake aina ya huyu ex wangu huwa wanafikiria nini

kwenye red ni muongo na ushahidi ninao maana nilikuwapo
images.jpg
 
Aaaah Sophy weeeee........kimekunukia Sophy.......kwa nini Sophy ulipanda vitara ya baba.........wanawake magari haya yatatuua jamani.......Sophy heri ungepanda Vogue au Q7 Sophy........aibu gani hii Sophy .........
 
dah mkuu we acha tu,nilimuona kama ghost vile,kwani siku hiyo alipobebwa iliniumaje,nilikuwa naishi kitaa kimoja kinaitwa kwa ngulelo,siku hiyo sikupanda daladala,nilitembea taratibu sana huku kichwa kikiwa moto na nilikuwa nikiongea mwenyewe,nikikumbuka hiyo hali iliyonipata halafu leo eti anasema ananipenda,cjui nisemeje tu mkuu
Ba'mdogoo huyo mteme tuu. tena anaweza kua na magonjwa yake akakuletea!
jiulize kama ni mwanamke anayeshobokea magari, je model ngapi zimeshatoka na kupita? na kila mwenye model yake amempitia mara ngapi? na wewe ukurudi kwake utakuta nn?
 
Mkuu mi najua ilivyo chungu kufanyiwa kitu kama hicho, bora mungekuwa mumeachana kwasabubu za kukorofishana ningekushauri fikiri mara 2, ila hiyo usgeuke hata nyuma endelea na maisha yako, kwanza mim huwa sina tabia kurudiana n X, akijileta mi huwa najua ana lake jambo, kwhyo wewe piga moyo konde maisha uyashinde
 
Ba'mdogoo huyo mteme tuu. tena anaweza kua na magonjwa yake akakuletea!
jiulize kama ni mwanamke anayeshobokea magari, je model ngapi zimeshatoka na kupita? na kila mwenye model yake amempitia mara ngapi? na wewe ukurudi kwake utakuta nn?

weee mbona maneno makali sana brooo lol
 
hii inaitwa trow diamond and becoming busy collecting stones...hii inainshangaza sana nshakutana ma -ex wangu wawili wanajuta....kuna mmoja nilimchukua mpaka kwangu tukalala alafu sikumfanya chochote hakuamini....asubuhi nkamwambia unajua sikupendi kweli...i hope sasa utakua unaamini..
 
wadau cjui tu watu wengine wakoje,jana katika mizunguko yangu ya kawaida nikadandia daladala maeneo ya stesheni kwenda gongo la mboto,baada ya kufika mnazi mmoja kuna mdada akahama kwenye siti aliyokuwa amekaa(ilikuwa nyuma ya pale nilipokaa) akahamia kwenye siti yangu.lahaullah!!

Kumtizama vizuri ni ex wangu,tulikuwa wote arusha miaka sita au saba kasoro hivi kama sio nane.baada ya kusalimiana na kupiga stori za hapa na pale kuhusu maisha bidada akaanza kufunguka.eti bado ananipenda sana na hajui nini kilitokea tukaachana.akasema amekuwa akinikumbuka sana na alikuwa akiombea iko siku tukutane na tuendelee na maisha yetu.eti upendo wake kwangu hauta kaa ufutike hata kidogo katika moyo wake...nilimuangalia usoni hata sikuamini kuwa ni yeye ndiye anayeongea maneno yale tena mbele za watu kwenye daladala,nikakumbuka jinsi tulivyoachana,

TULIKUWA TUMESIMAMA MAENEO YA KIMAHAMA BOOKSHOP PALE MJINI,MARA AKATOKEA JAMAA MMOJA AMBAYE TULIKUWA TUKIFAHAMIANA TU NA NILIMCHUKULIA KAMA BRAZA,JAMAA AKATOKEZEA NA KI VITARA CHA BABA YAKE,SIKUAMINI MARA SOPHY AKASIMAMA GHAFLA NA KUMFUATA,WAKAKUMBATIANA NA KUKISIANA MDOMONI,JAMAA AKAMFUNGULIA SOPHY MLANGO,WAKAINGIA GARINI NA KUTOKOMEA.BAADA YA SIKU KAMA MBILI HIVI NIKAKUTANA NA YULE JAMAA,ETI AKAWA ANANIOMBA SAMAHANI KWANI DEM NDIYE ALIYEMTAKA MWENYEWE.HIYO SIKU NDIYO UHUSIANO WANGU NA SOPHY ULIISHIA HAPO.

eti leo sophy anasema ana upendo wa dhati kwangu,kweli niliona muujiza.ilibidi nishuke ndani ya gari maeneo ya majumba sita kwani alianza kulazimisha mabo ambayo hata kimsingi hayapo,mara anataka namba ya simu,mara anataka akapafahamu kwangu,mara nitapata lini muda ili tuwe na mazungumzo serious.nilimwambia sophy kuwa mi sioni kama akili yake iko sawa,na siko tayari kwa lolote katika chochote anachokihitaji.

wadu cjui tu watu wengine na haya wanawake aina ya huyu ex wangu huwa wanafikiria nini

HAYA YANATOKEA SANA.....siku nyingine ukiwa unapost thread ujitahidi kutaja wapi maana majina ya sehemu yapo mahali mahali hpa tz mnazi mmoja dar au wapi? ok pole sana...mahusiano yanapimwa na MUNGU.

Sophy kanyea pampers

Huyo haifai kama ng'onda hata uweke limao
 
ungempa na makofi unaposhuka maana kausumbua akili yako, kazikumbushia huzuni zako
 
kozo okamoto, tafadhali naomba uni-PM namba ya simu ya Sophy kama unayo!
 
Back
Top Bottom